Sie suchten nach: hitilafu (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

hitilafu

Englisch

error

Letzte Aktualisierung: 2014-08-15
Nutzungshäufigkeit: 3
Qualität:

Swahili

hitilafu isiyojulikana

Englisch

unknown error

Letzte Aktualisierung: 2014-08-15
Nutzungshäufigkeit: 6
Qualität:

Swahili

hitilafu! faili halisomeki '%s':%s

Englisch

error reading file '%s': %s

Letzte Aktualisierung: 2014-08-15
Nutzungshäufigkeit: 3
Qualität:

Swahili

hitilafu! faili '%s': %s imekosa kusetiwa upyanamename

Englisch

error rewinding file '%s': %s

Letzte Aktualisierung: 2014-08-15
Nutzungshäufigkeit: 3
Qualität:

Swahili

hii ilisababisha kubuniwa kwa kampeni nyingine #whatiloveaboutafrica iliyokusudiwa kurekebisha hitilafu hizo.

Englisch

this prompted a counter-campaign #whatiloveaboutafrica aimed at rectifying these 'stray shots'.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba mlipuko huo ulitokana na hitilafu ya umeme kwenye eneo hilo.

Englisch

initial investigations suggest that the blast resulted from electric fault in the area.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

maneno yako yasiwe na hitilafu yoyote ili adui zako waaibike wasipopata chochote kibaya cha kusema juu yetu.

Englisch

sound speech, that cannot be condemned; that he that is of the contrary part may be ashamed, having no evil thing to say of you.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa mfano, hitilafu katika kukabiliana na hali ya kuchomeka ndani ya popo kulifanikisha kupunguza uwezo wa kusababisha ugonjwa kunaowezeshwa na cov.

Englisch

for example, defects in the activation of pro-inflammatory response in bats efficiently reduce the pathology triggered by covs.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mpaka sasa, uchaguzi huo umeelezwa na wengi kuwa ulikuwa wa mafanikio, huku kukiwa na taarifa za ghasia za hapa na pale na hitilafu za upigaji kura.

Englisch

thus far, the election has widely been declared a success, with only sporadic reports of violence and voting irregularities.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya mungu baba ni hii: kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.

Englisch

pure religion and undefiled before god and the father is this, to visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

@jowac50: rt #nairobiblast rt #nairobiblast mkuu wa polisi mathew iteere anasema mlipuko ulisababishwa na hitilafu ya umeme –kwa mujibu wa taarifa mbalimbali

Englisch

@jowac50: rt #nairobiblast police boss mathew iteere says explosion caused by electrical fault - reports

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa mfano, uhispania iliondoa vifaa vya kupima virusi 58,000 vilivyotengenezwa uchina vilivyokuwa na kiwango cha usahihi wa 30%, wakati huo, uholanzi ilirejesha barakoa za uso 600,000 za uchina ambazo zilikuwa na hitilafu.

Englisch

for instance, spain withdrew 58,000 chinese-made coronavirus testing kits with an accuracy rate of just 30%, meanwhile, the netherlands recalled 600,000 chinese face masks which were defective.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,739,506,553 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK