Sie suchten nach: ijulikanayo (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

ijulikanayo

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

mratibu wa redio hiyo ni asasi isiyo ya kiserikali ya kidachi ijulikanayo kama press now.

Englisch

the coordinator of the radio is the dutch ngo press now.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwanablogu mohammad munim aliipinga vikali tume hii kwenye blogu ijulikanayo kama muktangon, ambayo ni blogu ya jamii:

Englisch

blogger mohammad munim criticized the commission on muktangon, a community blog:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

howard m. friedman, profesa mwandamizi wa sheria katika chuo kikuu cha toledo, anasema katika blogu yake ijulikanayo kama religionclause:

Englisch

howard m. friedman, professor of law emeritus at the university of toledo, says in his blog religionclause:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

vuguvugu moja iliwataka wanablogu wote kuunga mkono kampeni za watu kuondoa usajili wao kutoka kwenye gazeti kubwa zaidi nchini brazili, folha de são paulo, pamoja na tovuti yake ijulikanayo kama uol.

Englisch

one of them called on all bloggers to support a campaign of mass un-subscription to the largest brazilian newspaper, folha de são paulo, and its website uol.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ishara nyingi zinaelekezwa kwa walima maharage ya soya wa kibrazili kwamba ndiyo wanaohusika na unyunyiziaji huo, kwani kwa kiasi kikubwa ardhi iliyo mikononi mwa jamii za wenyeji ingefaa sana kwa zao hilo na kwamba hawa wamekuwa katika mgogoro na ava guaraní kuhusu umiliki wa takribani hekta 3,000, kwa mujibu wa blogu ijulikanayo interparaguay .

Englisch

many of the signs point to brazilian soy growers as those responsible for the spraying, in part because the indigenous community's land is valuable for the crop and that they had been in a dispute with the ava guaraní over the ownership of approximately 3,000 hectares , according to the blog interparaguay .

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kutoka dakar, bloga naomed wa le blog politique du senegal ameandika mchezo huu mdogo wa kuigiza kuhusu dawa ijulikanayo kama "melamine," jina la hiyo dawa ambayo iliongezwa kwenye maziwa ili kudanganya ubora wa maziwa hayo.

Englisch

blogging from dakar, naomed of le blog politique du senegal penned this short satire, a play on "melamine," the name of the chemical which was added to the fake milk.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,764,566,648 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK