Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
kisha askari wa mkuu wa mkoa wakamwingiza yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia kikosi kizima.
then the soldiers of the governor took jesus into the common hall, and gathered unto him the whole band of soldiers.
shangwe na vifijo karibu na ikulu ya rais nchini bujumbura baada ya kupinduliwa kwa nkurunzisa.
celebration and jubilation near presidential offices in bujumbura after the overthrow of nkurunziza. #burundicoup pic.twitter.com/whjzxkfs69 — robert alai (@robertalai) may 13, 2015
senegal: harakati za "imetosha sasa basi": kwanza kwenye mtandao, na sasa ikulu
senegal: "enough is enough" movement: first the web, now the presidential palace · global voices
erik alifanya kazi na ikulu ya marekani katika kuandaa mikakati ya nyenzo mpya za habari kwa ajili ya ghana na afrika.
erik worked with the white house in developing their new media strategy for ghana and africa.
maofisa wa ikulu pia walikataa kufanunua itifaki na uhalali wa waziri huyo wa zamani kuwa karibu sana na rais katika dhifa za kitaifa.
state house officials also refused to explain the protocol and justify the former minister's closeness to the president at the state functions.
wanajeshi waasi wametangaza kwamba wametwaa madaraka nchini mali , baada ya kukiteka kituo cha televisheni ya taifa pamoja na ikulu ya nchi hiyo.
renegade soldiers have announced that they are seizing power in mali, after taking over the state television building and presidential palace.
aliporudi lusaka, ikulu ilijaribu kumwonyesha akiendelea na majukumu yake ya kazi kama kawaida na hata kuchapisha picha zake akiongoza kikao cha baraza la mawaziri.
upon his return to lusaka, the president’s office tried to show him as working normally and even posted pictures of him chairing a cabinet meeting.
ikulu ya marekani itatengeneza “tukio” la facebook kutokana na hotuba ambapo washiriki kutoka ulimwengu mzima wanaweza kujibishana.
the white house will also create a facebook “event” around the speech wherein participants from around the world can engage with one another.
katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jumatano ambayo malawi digest iliruhusiwa kuisoma, ikulu inasema kuwa rais mutharika anatarajiwa kumuoa chimbombo katika mei mosi, 2010.
in a press statement issued on wednesday made available to malawi digest, the state house says that president mutharika is expected to marry chimombo on 1st may, 2010.
@edwardlowassa wajiandae tu kisaikolojia kuitoa ikulu kwa amani pasi na shurtisho lolote — mwamfupe anyisile (@anyisile) august 15, 2015
they should prepare themselves psychologically to leave the state house in peace without any force.
kundi la raia wa ghana walikusanyika karibu na ikulu ya rais kama sehemu ya kampeni yao #occupyflagstaffhouse yenye lengo la kupinga rushwa pamoja na hali tete ya uchumi ikiwa ni sehemu ya harakati zao za kuishinikiza serikali katika kukabiliana na matatizo haya.
a group of ghanaians rallied near the president's office as part of a campaign dubbed #occupyflagstaffhouse to protest corruption and the country's poor economic situation and press the government to do something about it.