Sie suchten nach: kiungo cha video (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

kiungo cha video

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

kiungo cha uzazi

Englisch

ovary

Letzte Aktualisierung: 2024-02-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kiungo cha %'d kwenda %s

Englisch

%'dst link to %s

Letzte Aktualisierung: 2014-08-15
Nutzungshäufigkeit: 3
Qualität:

Swahili

kiungo cha tukio hilo kiko hapa.

Englisch

here's a link to the google + event.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mohamed al omar aliweka kiungo hiki cha video katika mtandao wa twita na kusema :

Englisch

mohamed al omar posts a link to the video on twitter and quips :

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwandishi wa habari jenan moussa awali alituma kiungo cha video kwenye mtandao wa twita na baadae kukiondoa.

Englisch

journalist jenan moussa first shared the video link on twitter and then removed it.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwanablogu @chanadbh alitwiti kiungo cha video na kuambatanisha maoni yanayokinzana moja kwa moja na kauli za serikali:

Englisch

blogger @chanadbh tweeted the link to a video and added a sarcastic comment:

Letzte Aktualisierung: 2023-10-07
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

(lakini kiungo cha intanenti kimetowekakatika ofisi ya google ya kampeni!)

Englisch

(but i bet the internet link is off at google's kampala office!)

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

halafu moftasa alibandika kiungo cha picha kutoka kwenye eneo la mlipuko kwenye twita.

Englisch

moftasa then posts a link to a photograph from the blast area on twitter.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, ninyi nyote ni mwili wa kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo.

Englisch

now ye are the body of christ, and members in particular.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ubakaji ni kupiga, namna ya uonevu, ambao unafanyika kwa kupitia kiungo cha ngono badala ya ngumi.

Englisch

rape is a beating, a form of abuse, that just happens to be carried out using a sexual organ instead of a fist.

Letzte Aktualisierung: 2024-03-21
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

badala yake, nitaweka kiungo cha kila moja wapo, inayoonekana, na maneno machache ya kwa nini ni muhimu kuzisoma.

Englisch

instead, i’ll just post a link to each, a visual, and why i think it’s worth reading.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hali kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa kuungana na kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.

Englisch

so we, being many, are one body in christ, and every one members one of another.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

polisi waliwasukuma na kuwaburuza waandishi, huku afisa mmoja akifikia hatua ya kuichukua kamera na kufuta kipande cha video yeye mwenyewe.

Englisch

police pushed and shoved journalists, with one officer even confiscating a camera to scrub the footage himself.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa hiyo, acheni uongo. kila mmoja anapaswa kumwambia mwenzake ukweli, maana kila mmoja wetu ni kiungo cha mwili wa kristo.

Englisch

wherefore putting away lying, speak every man truth with his neighbour: for we are members one of another.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ni kweli, masaa kadhaa baadae, kipande cha video kwenye mtandao wa youtube kinachodaiwa kuwekwa na al-shabaab kiliwekwa mtandaoni.

Englisch

indeed, hours later, a youtube clip purporting to be by al-shabaab was posted online.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kipande cha kwanza cha video cha ajali ya ndege sasa kinapatikana. tunamshukuru mwanajeshi wa burkina faso aliyekuwa eneo la tukio la ajali karibu na gossi, mashariki mwa mali.

Englisch

the first footage of the plane crash are now available thanks to a burkinabe soldier present on the site of the wreck near gossi, in northern mali.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ikiwa kiungo cha '' bofya hapa '' haijulikani na programu yako ya barua pepe, bonyeza hii kiungo na uweke kwenye yako ya browser:

Englisch

iwapo kiungo cha ''bofya hapa'' hakisaidiwi na programu yako ya barua pepe, bofya kiungo hiki na uweke kwa kivinjari chako:

Letzte Aktualisierung: 2023-09-16
Nutzungshäufigkeit: 5
Qualität:

Swahili

kipande cha video kilichogharimu takribani kiasi cha dinari 250 za tunisia, karibu kiasi cha dola 250 za marekani, inawachora watu wa daraja la chini kabisa nchini tunisia na namna wanavyoendesha maisha yao.

Englisch

the video clip which only cost 250 dinars (around 150 usd) to produce, depicts residents of a disadvantaged neighborhood as they go through their daily lives.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mwandishi na mhariri wa zamani wa mashariki ya kati kwa jarida la the guardian brian whitaker (@brian_whit) alitwiti kiungo cha makala aliyokuwa ametoka kuiandika:

Englisch

journalist and former middle east editor for the guardian newspaper brian whitaker (@brian_whit) tweeted a link to his latest post:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

familia nyingine hutoa nyama yote kwa wale wenye uhitaji, wakati wengine (kama famialia yangu ya kufikia) hula mpaka kiungo cha mwisho, na hubaki na nyama itakayowatosha kwa miezi miwili au zaidi.

Englisch

some families give all the meat to those in need, while some (like my host family) eat every last organ, and have enough meat to last them for 2 or more months.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,793,798,006 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK