Sie suchten nach: kudhulumu kwa simu (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

kudhulumu kwa simu

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

tutaongea kwa simu

Englisch

okay we'll talk later

Letzte Aktualisierung: 2023-04-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

sina pesa kwa simu nikipata tatuma

Englisch

i don't have money for a phone call

Letzte Aktualisierung: 2021-05-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

video imepakiwa kutoka kwa simu yangu

Englisch

video uploaded from my phone

Letzte Aktualisierung: 2023-09-15
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

m-pesa inaweza kupatikana kwa simu yoyote:

Englisch

m-pesa can be accessed from any phone:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

tangu wakati huo mama huyo ameweza kuongea na kijana wake mara nne tu kwa simu.

Englisch

since then she has only been able to have three brief phone conversations with him.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kumekuwa hakuna taarifa zake isipokuwa kwa simu mbili zilizopigwa kutoka mahali kusikofahamika.

Englisch

there has been no news of him except for two telephone calls from an anonymous place.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hatutakubali kubandikwa alama ya ugaidi kwa sababu ya siku 58 za kutokufanya kazi kwa simu ya kiganjani ya rais.

Englisch

we will not accept the label of terrorism bestowed on us by the 58 days inactivity of our president’s mobile phone.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwa hiyo nikamuuliza kama alikuwa na simu ya mtn ili niweze kumalizia malipo kwa kupitia huduma ya kuhamisha salio kwa simu.

Englisch

so i asked her if she had an mtn phone so i could complete the payment through a phone credit transfer.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nilikuwa nimelala kwenye kitanda changu huku nikongea kwa simu na rafiki yangu, na ghafla nikahisi kitanda kikitetemeka.

Englisch

i was lying on my bed talking to a friend on the phone, and i suddenly felt that the bed was shaking.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nikafikiri kutembea mwendo unaotisha kuelekea kwenye gari na pia uwezekano wa kuwalipa kidogo kidogo kwa kutumia huduma ya kuhamisha salio kwa simu.

Englisch

i thought of taking a much dreaded along walk to the car and also the possibility of paying partially by a telephone credit transfer.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

tunajaribu kuendelea kuwasiliana nao kwa simu lakini hawana nguvu za betri (mawe) ya kutosha kwenye simu zao.

Englisch

we are trying to maintain phone contact but they don’t have much battery life in their phones.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kimbinyi pia ameunda zana tumizi (app) iitwayo lite kwa simu zenye zana ya windows na mpaka sasa ameendelea kupata maoni chanya kwa kazi hiyo.

Englisch

kimbinyi has also developed an app called lite for windows phones and has so far received positive reviews for the same.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

msemaji wa anc jackson mthembu aliiambia sapa kwa simu alhamisi asubuhi kuwa atamtetea malema na kwamba wimbo huo angaliwe katika mazingira ulipoimbwa (soma makala nzima).

Englisch

anc spokesman jackson mthembu told sapa by phone on thursday morning that he will defend malema and that the song should be seen in context (read full article).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

washiriki wa warsha walitoa maoni kuwa pale ambapo (mtandao) upo, simu hukatwa mara kwa mara, na baadhi hukutwa na maingiliano ya mawasiliano kama vile kuingiliana kwa simu.

Englisch

workshop participants commented that where it does exist, phone connections are regularly cut off, and some of them had also experienced intrusion in communication such as crossed lines.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

watu wamekuwa wakitumia njia zinazofanana na hili tunalolisema tangu siku za nyuma, kwa mfano watu wanaotumia simu za kisasa (smartphone) wanaweza kutumiana ujumbe wa "niko salama", lakini inabidi hilo liwezekane hata kwa simu za kawaida sana.

Englisch

people have been doing some stuff in this space in the past, the best like “i’m ok” are focused on smartphone users, but we have a need to make it work for even the simplest phones.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,778,556,922 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK