Sie suchten nach: kutatua migogoro (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

kutatua migogoro.

Englisch

Letzte Aktualisierung: 2021-05-13
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kutatua migogoro katika vituo

Englisch

kutatua migogoro

Letzte Aktualisierung: 2021-05-13
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

migogoro ya riba

Englisch

statement that no conflict of interest is in place

Letzte Aktualisierung: 2019-02-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

migogoro ya ardhi

Englisch

land disputes

Letzte Aktualisierung: 2021-02-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

suala la migogoro ya ardhi

Englisch

the issue of land disputes

Letzte Aktualisierung: 2019-09-26
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kusuluhisha migogoro kati ya shule na jamii

Englisch

Letzte Aktualisierung: 2024-03-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwa nini tuzidishe migogoro kwa maamuzi ya namna hii?

Englisch

why multiply conflicts with decisions of this type?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

maisha yatakayokuwa mbali kabisa na vita, damu na migogoro.

Englisch

a future free from wars, blood and disputes.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wadau mbalimbali wameahidi kutatua au kupunguza shinikizo lililopo lakini lini?

Englisch

various players have promised to resolve or ease the current pressures but when?

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwa njia yoyote ndogo niwezavyo, ninajaribu kutatua tatizo au kufanya jitihada.

Englisch

in whatever small way i can, i try to solve a problem or even make an effort.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kusaliti wenzako na kutaka kuwabiga juju wabunge wenzako sio utaratibu mzuri wa kutatua yanayokusibu.

Englisch

sneaking around ju-juing your fellow mps isn't the way to do it.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

"tumechagua matumaini dhidi ya hofu, umoja wa nia dhidi ya migogoro na kutoelewana"

Englisch

“we have chosen hope over fear, unity of purpose over conflict and discord”

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

lakini nina mtazamo kuwa majadiliano ya wazi bado yanatakiwa kati ya serikali na wataalamu wa syariah ili kutatua suala hili.

Englisch

but i am of the view that open discussion is still required between the government and the syariah experts to deal with this issue.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

wamebadilika na si wale tuliowajua kuwa hawana upande wowote na waliheshimiwa, lakini badala yake wamekuwa ni sehemu ya migogoro.

Englisch

are no longer neutral elements that are respected, but rather another piece in the conflicts.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

bw mwangosi anakuwa mtu wa pili kuuawa katika migogoro inayolihusisha jeshi la polisi na chama cha upinzani katika kipindi kisichozidi wiki mbili.

Englisch

mr mwangosi becomes the second person to be killed in conflicts pitting the police force and the opposition party in the space of two weeks.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.

Englisch

while some believe the historic documents could ease ongoing border disputes, researchers doubt they exist at all. joseph edward discusses the issue of missing colonial-era maps of the south sudan border.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

...serikali ni sehemu muhimu katika maisha yetu ya kila siku, lakini kuitegemea sana ni tatizo kwa sababu inakuwa kama hatuwezi kutatua matatizo yetu binafsi.

Englisch

...our government is such a strong part in our everyday lives, but our dependency on them is problematic because it is as if we can't solve our own troubles.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kati ya sababu za matokeo hafifu ya kura ya maoni ni "migogoro ya ndani isiyoisha" kati ya rais na mwaziri mkuu yulia tymoshenko.

Englisch

among reasons for such low approval ratings is "the relentless infighting" between the president and pm yulia tymoshenko.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

nshima, aina ya ugali unaopikwa kwa unga wa mahindi, umewahi kuwa sababu ya migogoro ya kifamilia na kusababisha ghasia kadhaa zinazohusiana na chakula nchini zambia katika nyakati tofauti.

Englisch

nshima, the stodgy porridge-like substance cooked out of maize-meal, has divided families and triggered food riots in zambia at one time or other.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kama hawa jamaa wanamaanisha kwa dhati kutatua tatizo la umeme barani afrika, ni lazima wapiganie suluhisho pekee linaloweza kuleta matokeo halisi: kuachana na ukiritimba wa huduma ya umeme.

Englisch

if people are serious about solving africa’s electricity problem, they should be promoting the only solution capable of producing real results: abolish national monopolies on electric utilities.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,792,490,011 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK