Sie suchten nach: kuzaa (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

kuzaa

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

kuzaa mtoto

Englisch

child-bearingchild bearing

Letzte Aktualisierung: 2024-01-11
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

paraguai: rais lugo akiri kuzaa mtoto wakati bado akiwa askofu

Englisch

paraguay: president lugo admits fathering a child as bishop · global voices

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

marekani: wanawake walio kwenye uchungu wa kuzaa hawatafungwa tena minyororo.

Englisch

usa: women in labor no longer to be shackled.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa matunda, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi.

Englisch

every branch in me that beareth not fruit he taketh away: and every branch that beareth fruit, he purgeth it, that it may bring forth more fruit.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

sheria hii imeanzishwa kufuatia idadi kubwa ya watu wa china kuonekana kuwa na umri mkubwa na hii inatokana na sera ya kuzaa mtoto mmoja tu.

Englisch

the law is designed as china's population ages rapidly due to the one-child policy.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

sidhani kama itabadilisha siasa kabisa au itaelekeza uchaguzi bali ninafikiri itaweza kuzaa jamii katika nia ambazo hazijawahi kuweza kutokea kabla.”

Englisch

i don't think it will change politics per se or determine an election but i think it can breed community in ways that have not been able to take place before."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

haipendekezwi kutumia mabwawa ya kuzaa kwa watu wanaoshukiwa au waliodhibitishwa kuwa na ugonjwa wa covid-19 kwa sababu ya hatari ya kuambukiza kupitia kinyesi.

Englisch

the use of birthing pools is not recommended for suspected or confirmed cases of covid-19 due to the risk of infection via faeces.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.

Englisch

for the earth bringeth forth fruit of herself; first the blade, then the ear, after that the full corn in the ear.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kambi ya upinzani yapaswa kupitisha sheria nyingine ya kuwazuia wanachama wake kufanya mapenzi, hadi hapo watakapopewa hati ya maandishi ya kuthibitisha kuwa nia ya dhati ya tendo la kujamiana ni kwa ajili ya kuzaa watoto tu.

Englisch

svoboda should adopt another law where their members are prohibited from having sex, unless they obtain a written document certifying that the sole intention behind this sexual act is .

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

katika indonesia wanawake wanaangaliwa mafanikio yao si kwa yale waliyoyafanya, bali kutokana na waume zao, ni watoto wangapi wanaweza kuzaa na watoto wao wana siha kiasi gani, na watoto wanasoma shule zipi.

Englisch

in indonesia, women are considered successful not from what they have achieved, but from their husbands, how many kids they can deliver and how fat their kids are and where their kids go to school.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hali kadhalika ninyi ndugu zangu: ninyi pia mmekufa kuhusu sheria kwa kuwa ninyi ni sehemu ya mwili wa kristo; sasa mmekuwa wake yeye aliyefufuliwa kutoka wafu ili tupate kuzaa matunda mema kwa ajili ya mungu.

Englisch

wherefore, my brethren, ye also are become dead to the law by the body of christ; that ye should be married to another, even to him who is raised from the dead, that we should bring forth fruit unto god.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.

Englisch

and seeing a fig tree afar off having leaves, he came, if haply he might find any thing thereon: and when he came to it, he found nothing but leaves; for the time of figs was not yet.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

habari nyingi zinazohusu uzinzi, ufujaji na tabia za utongozaji kwa baadhi ya mapadri wetu wakiwamo maaskofu, ambao wengine wanafika mbali hata kuzaa watoto, wengine wanafanya ngono na wanafunzi wao, wake za watu, wanaparokia n.k, ni lazima viongelewe...

Englisch

the numerous stories about promiscuity, extravagance and gallivanting attitudes of some of our priests including some bishops, some even go as far as bearing children, others fornicating with their students, peoples’ wives, parishioners etc must be addressed...

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,744,943,320 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK