Google fragen

Sie suchten nach: mambo mengine yake (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

Jela, na jela na mambo mengine.

Englisch

Jail, and jail and other things.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Kuna mambo mengine yanayochangia katika ugumu wa kupata maji.

Englisch

Additional conditions difficult access to water.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Wakati wengine wakihitaji mambo mengine zaidi kufanyika mbali na kusali:

Englisch

While others called for more than prayer:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

No mbaya zaidi ya kubaka na uhaini pamoja na mambo mengine yote aliyokwisha chapwa nayo.

Englisch

It is worse than the rape and treason and all other things slapped on him.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

BBC wanatangaza mdahalo, CNN haina habari na mambo mengine ziadi ya mpango wa nyuklia wa Iran.

Englisch

BBC is broadcasting a debate, CNN is fixated on the Iran nuclear deal.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Orodha hiyo ilipima, pamoja na mambo mengine, utoaji vifaa na huduma za jamii unaofanywa na serikali.

Englisch

The index measured, among other things, the delivery of public goods and services by government.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Tabia ya Wamalaysia ni ya kudharau mambo ya ndani na kushupalia mambo mengine ambayo hayahusiki moja kwa moja nasi."

Englisch

The Malaysian attitude is that we ignore our household affair and get busy with other issue that it less related to us.”

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Mradi wa Sauti za wa-Papua unawajulisha wasomaji mambo mengine yanayohusu utamaduni na historia ya watu wa Papua:

Englisch

Papuan Voices introduces readers to other aspects of Papuan culture and history:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Wengi wao walikuwa wanashiriki kwa mara ya kwanza, hasa kwa vile wanablogu waliowahi kushiriki hapo kabla walikuwa na mambo mengine ya kushughulikia.

Englisch

Most were attending for the first time as the original members had been caught up in other matters.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Anwani feki ya twita ya Rossneft rais wa gor Sechin ilionyesha kuwa Papa huenda alikuwa na mambo mengine ya ndani yaliyomfanya ajiuzulu:

Englisch

The fake Twitter account of Rossneft president Igor Sechin implied that the Pope may have had ulterior motives in resigning:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Kwenye televisheni matarumbeta yanaingiliana na utangazaji, pamoja na mambo mengine, lakini uwanjani hali ya kelele ni sehemu ya mandhari.

Englisch

On TV the horns conflict with the commentary, among other things, but in the ground the ambient noise is part of the atmosphere.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Henderson anabainisha kuwa zipo nyimbo kuhusu "chakula, familia, majinamizi, watoto wasumbufu" na mambo mengine mengi.

Englisch

Henderson points out there are lullabies about "food, families, monsters, children being naughty" and many other things.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

Ikiwa kwa kawaida unatazama habari mara mbili kwa siku basi fuata ratiba hii na ufanye mambo mengine, badala ya kupata habari kwa saa 24 kila wakati.

Englisch

If you normally watch the news twice per day then stick to this schedule and do something else, rather than having the 24-hour news on continuously.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Mwanablogu AfroGay anadhani kuwa serikali ya Uganda iliamini kuwa ingeweza kupitisha muswada huo kwa kuwa viongozi wa dunia wana mambo mengine katika akili zao:

Englisch

AfroGay speculates that the Ugandan government believed it could get away with the bill because world leaders have other things on their minds:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Kwa hiyo, taasisi itabuni, miongoni mwa mambo mengine, jukwaa linalozingatia hali halisi na lililo mwafaka litakalojishughulisha na watangazani kutoka nchini Kenya.

Englisch

Thus the association will among other things, come up with a more realistic and relevant ad platform that will involve local advertisers.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Ninapozungumza na mwanangu wa kiume nagundua kuwa haidhuru ni kwa jinsi gani mazingira ya nyumbani yalivyo, kuna mambo mengine yanadumaza maendeleo na afya ya mtoto.

Englisch

Talking to my son I realized that however open a household environment is there are certain things that stunt the growth and health of a child.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Moja ya ofisi ambazo zinahudumia Wamalawi wengi ni Ofisi ya Serikali ambako pamoja na mambo mengine wateja husaidiwa kwa huduma zinazohusu masuala ya mirathi.

Englisch

One of the offices that serves lots of Malawians is the office of the Administrator General where among others, clients are helped with services regarding their deceased estate.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Pamoja na mambo mengine, Jimbo la mheshimiwa Angelot linakabiliwa na changamoto za kukosekana kwa maji safi, umeme pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara.

Englisch

Hon. Alengot's area faces challenges of clean water, electricity and poor roads among others.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Kuna mambo mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa.

Englisch

And there are also many other things which Jesus did, the which, if they should be written every one, I suppose that even the world itself could not contain the books that should be written. Amen.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

Alishiriki pia katika kipindi cha Maswali na Majibu na waandishi wa habari kufuatia hukumu hiyo mnamo Machi 14 akieleza pamoja na mambo mengine umuhimu wa picha za video katika uendeshaji mashitaka.

Englisch

He appeared in a Q&A with journalists following the verdict on March 14 explaining among other things the importance of video in the trial.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK