Sie suchten nach: nipate (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

napenda nipate kuwepo na wewe

Englisch

i wish i would come

Letzte Aktualisierung: 2019-08-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

naomba nipate pesa mpenzi mangu

Englisch

darling i have a problem please help me

Letzte Aktualisierung: 2022-05-21
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nitakusumbua kesho ili nipate hela yangu

Englisch

i'll use it tomorrow

Letzte Aktualisierung: 2024-03-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nijengee mnara ili nipate kuzifikia njia,

Englisch

build a high palace for me, in order that i may reach the routes.” –

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

lazima niende lakini nipate kuwaona kwa muda….

Englisch

i must go me....

Letzte Aktualisierung: 2020-06-20
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

"baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena.

Englisch

therefore doth my father love me, because i lay down my life, that i might take it again.

Letzte Aktualisierung: 2023-08-31
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

huniakhirishi muda kidogo nipate kutoa sadaka, na niwe katika watu wema?

Englisch

i should then have given (largely) in charity, and i should have been one of the doers of good".

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

kwa maana ninatamani sana kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.

Englisch

for i long to see you, that i may impart unto you some spiritual gift, to the end ye may be established;

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hii ndy nimeuza sasa nilikuwa nataka nipate kwenu labda wakala wa huku tanzania mnaemtumia ninani

Englisch

nadhani hii inaenda mahali. ikiwa unauliza bei ya pikipiki sasa unaweza kufikiria kusafirisha?

Letzte Aktualisierung: 2020-08-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee ninyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.

Englisch

if by any means i may provoke to emulation them which are my flesh, and might save some of them.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

ewe haman! niwashie moto unichomee udongo, unijengee mnara nipate kumchungulia mungu wa musa.

Englisch

i know not that ye have a god other than me, so kindle for me (a fire), o haman, to bake the mud; and set up for me a lofty tower in order that i may survey the god of moses; and lo!

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

uko tayari ukose ili mimi nipate uko tayari uteseke kwa jili ya watoto wako kila siku unapambana kwajili yetu nakupenda sana mama

Englisch

Letzte Aktualisierung: 2021-03-08
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

"unataka nikufanyie nini?" naye akamjibu, "bwana, naomba nipate kuona tena."

Englisch

saying, what wilt thou that i shall do unto thee? and he said, lord, that i may receive my sight.

Letzte Aktualisierung: 2023-07-19
Nutzungshäufigkeit: 3
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

niwashie moto unichomee udongo, unijengee mnara nipate kumchungulia mungu wa musa. na hakika mimi namwona yeye ni katika waongo.

Englisch

'assembly' said pharaoh, 'i do not know that you have any god except me' 'o haman, kindle a fire upon clay and make me a tower so that i can climb to see the god of moses, i think that he is one of the liars'

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

sijui uwaga tunachelewa wapi kuwapata watoto warembo mhhh nakupenda aty je kama inawezekana tuchart messenger nipate namba yako ya simu mrembo samahan lakin kama nitakua nimekukwaza kwa ilo asante

Englisch

i don't know where we're going to get the beautiful kids mhhh i love you aty if it's possible to just get your phone number beautiful samahan lakin if i have stumbled on you thanks

Letzte Aktualisierung: 2024-03-31
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

nizindue niishukuru neema yako uliyo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nipate kutenda mema uyapendayo, na uniingize kwa rehema yako katika waja wako wema.

Englisch

hold me under (your) control that i may render thanks for the favour which you have bestowed on me and on my parents, and that i may act righteously in a manner that would please you. include me, out of your mercy, among your righteous servants."

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

mimi niliihubiri kwenu habari njema ya mungu bila kudai mshahara; nilijinyenyekeza ili nipate kuwakweza ninyi. je, nilifanya vibaya?

Englisch

have i committed an offence in abasing myself that ye might be exalted, because i have preached to you the gospel of god freely?

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

yesu akamwuliza, "unataka nikufanyie nini?" huyo kipofu akamwambia, "mwalimu, naomba nipate kuona."

Englisch

and jesus answered and said unto him, what wilt thou that i should do unto thee? the blind man said unto him, lord, that i might receive my sight.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

maana, kuhusu sheria hiyo, mimi nimekufa; sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili ya mungu. mimi nimeuawa pamoja na kristo msalabani,

Englisch

for i through the law am dead to the law, that i might live unto god.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kaka yang mywearther mimi naitwa dickson dismas nipo tanzania naomba unisaidie chochote nipate mtaji nifanye biashara kwasasa nafanya tu vibarua ila hali yangu ya maisha ni mbaya na wazazi wangu hawana chochote wananitegemea mimi nionee huruma mungu ataendelea kukubariki kaka angu. namba yang ya bank ni 0152566778700 crdb bank jina dickson dismas slaa.

Englisch

my brother-in-law, my name is dickson dismas, i am in tanzania. the bank number is 0152566778700 crdb bank name dickson dismas slaa.

Letzte Aktualisierung: 2021-09-26
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
8,927,356,809 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK