Sie suchten nach: onyesha kitufe cha nyumbani (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

onyesha kitufe cha nyumbani

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

ratiba ya chakula cha nyumbani

Englisch

home meal schedule

Letzte Aktualisierung: 2023-10-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

haijalishi, nakupenda kutoka kwa kitufe cha moyo wangu

Englisch

no matter, l love from the buttom of my heart

Letzte Aktualisierung: 2023-07-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hatujapata kile kitufe cha 'salama' kwenye mtandao wa facebook.

Englisch

we do not get a "safe" button on facebook.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 2
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

dunia ilifurahi wakati suu kyi, ambaye ni mshindi wa tuzo ya nobeli, alipoachiwa huru kutoka kifungo cha nyumbani.

Englisch

the world rejoiced when suu kyi, a nobel peace prize winner, was freed from house arrest.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

tofauti na aung san suu kyi ambaye aliwekwa chini ya kifungo cha nyumbani, win tin alikuwa kizuizini katika seli iliyojengwa maalumu kwa ajili ya kuwaweka mbwa wa kijeshi.

Englisch

unlike aung san suu kyi who was placed under house arrest, win tin was detained in a cell designed for military dogs.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mategemo ya uhuru wa suu kyi yalitiliwa mashaka baada ya mahakama ya juu nchini burma kukataa rufaa yake ya mwisho dhidi ya kifungo cha nyumbani ijumaa, na kuwafanya watu wawe na wasiwasi kuwa angeachiwa au la.

Englisch

suu kyi's impending freedom was later doubted when the burmese top court rejected her final appeal against her house arrest this friday, making the people anxious whether she will be released or not.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mapenzi ya bibi suu kyi kwa nchi yake ya myanmar yamekuwa makubwa kiasi kwamba ametumikia kifungo cha nyumbani kwa takribani miaka kumi na nne katika nyumba iliyo kandokando ya ziwa huko yangon, ambapo amechagua kuishi kwa kuhofia kwamba huenda utawala wa mabavu wa kijeshi hautamruhusu tena kurudi ikiwa atatoka.

Englisch

so strong was ms suu kyi’s passion for myanmar, she has spent close to fourteen years under detention in a lakeside villa in yangon, choosing to stay for fear that the military junta would not allow her in again if she left.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ikiwa kutakuwa na mgusano wa karibu wakati wa kuchukuliwa, wafanyakazi wanapaswa kusafisha na kutakasa mkanda na vifaa vyao vya kazi kabla ya kuvitumia tena kwa kutumia kinyunyizi au kipanguzaji cha kusafisha cha nyumbani, na wafuate taratibu za kawaida za kufanya kazi na utupaji wa ppe na vya kuweka na kufua nguo.

Englisch

if close contact occurs during apprehension, workers should clean and disinfect their duty belt and gear prior to reuse using a household cleaning spray or wipe, and follow standard operating procedures for the containment and disposal of used ppe and for containing and laundering clothes.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

bw mousavi, ambaye ni kiongozi wa upinzani, hivi karibuni alilazwa hospitalini baada ya kupata matatizo ya moyo kufuatia miezi 15 ya kifungo cha nyumbani ...matamanio ya kidemokrasi na madai ya haki ya watu wa iran yanastahili kuungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, ikiwemo umoja wa mataifa na katibu wake mkuu.

Englisch

mr mousavi, the opposition leader, was recently hospitalized due to heart complications after 15 months of house arrest...the democratic aspirations and the just demands of the iranian people deserve the support of the international community, including the united nations and the secretary general.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

rana baker alitwiti : miongoni mwa mabango bora yaliyokuwa yameinuliwa leo na wa-palestina linaloipinga serikali ya fayyad na ongezeko la gharama lilisomeka: “siku hizi ninapoenda sokoni, ninabofya tu kitufe cha ‘kupenda’ na kisha ninarudi zangu nyumbani!"

Englisch

rana baker tweeted : one of the best banners raised today in palestine against fayyad's government and the high prices: "nowadays when i go to the market, i just 'like' and go home!"

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,768,708,435 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK