Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
basi, nilikasirika, nikaapa: hawataingia huko ambako ningewapa pumziko."
so i sware in my wrath, they shall not enter into my rest.)
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
tena jambo hili lasemwa pia: "hawataingia huko ambako ningewapa pumziko."
and in this place again, if they shall enter into my rest.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
kwa hiyo, basi, bado lipo pumziko kwa watu wa mungu kama kule kupumzika kwake mungu siku ya saba.
there remaineth therefore a rest to the people of god.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
maana, kila anayepata pumziko aliloahidi mungu atapumzika baada ya kazi yake kama vile pia mungu alivyopumzika baada ya yake.
for he that is entered into his rest, he also hath ceased from his own works, as god did from his.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
wale waliotangulia kuhubiriwa habari njema hawakupata pumziko hilo kwa sababu hawakuamini. wapo, basi, wengine ambao wangejaliwa kulipata.
seeing therefore it remaineth that some must enter therein, and they to whom it was first preached entered not in because of unbelief:
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
basi, tujitahidi kupata pumziko hilo, ili asiwepo yeyote miongoni mwenu atakayeshindwa, kama walivyofanya wao kwa sababu ya ukosefu wao wa imani.
let us labour therefore to enter into that rest, lest any man fall after the same example of unbelief.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
mungu alipoapa: "hawataingia huko ambako ningewapa pumziko," alikuwa anawasema akina nani? alikuwa anasema juu ya hao walioasi.
and to whom sware he that they should not enter into his rest, but to them that believed not?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
basi, sisi tunaoamini tunapata pumziko hilo aliloahidi mungu. kama alivyosema: "nilikasirika, nikaapa: hawataingia huko ambako ningewapa pumziko." mungu alisema hayo ingawa kazi yake ilikuwa imekwisha malizika tangu alipoumba ulimwengu.
for we which have believed do enter into rest, as he said, as i have sworn in my wrath, if they shall enter into my rest: although the works were finished from the foundation of the world.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung