Sie suchten nach: sikuwa na hasira nawe (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

sikuwa na hasira nawe

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

sikuwa na maana iyo

Englisch

sikuwa na maana io

Letzte Aktualisierung: 2022-10-21
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

narudia, siyasemi haya kwa chuki na hasira.

Englisch

again, i say this with no resentment.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

sikuwa na wasiwasi nilipokuwa katika eneo la ajali.

Englisch

i wasn't worried at the place of the crash.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

sikuwa na habari kwamba "wao" wapo wengi!"

Englisch

i had no idea there were so many "thems" out there!"

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

na sikuwa na mamlaka juu yenu, isipo kuwa nilikuiteni, nanyi mkaniitikia.

Englisch

and i had no power over you save that i called unto you and ye obeyed me.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

sikuwa na ilimu ya mambo ya viumbe wakuu watukufu walipo kuwa wakishindana.

Englisch

"i had no knowledge of the chiefs (angels) on high when they were disputing and discussing (about the creation of adam).

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

kugeuza maumivu yako kuwa hasira na hasira ndani ya motisha na motisha katika mafanikio

Englisch

turn your pain into anger and anger into motivation and motivation into success

Letzte Aktualisierung: 2018-04-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kitu ambacho kinanifanya kuwa na hasira ni kujua kwamba hili silo jambo lisilo la kawaida.

Englisch

the thing that makes me so angry is knowing that this is not something out of the ordinary.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwa hiyo wakati wengine hawanichangamkii, ninajisikia kuumia na hasira, na kushangaa kwa nini niteseke peke yangu namna hii.

Englisch

so when others around me are cold to me, i feel like crying with sorrow and rage, and wonder why it is that i alone must suffer like this.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

kwa ushauri wa wanasheria wangu, nimelazimika kuikimbia nchi bila kutaka na kwa kweli nikiwa na hasira mpaka rufaa itakapotatuliwa.

Englisch

on my lawyers advice, i have unwillingly and angrily gone into exile until appeals get sorted out. #ngotrial

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

akawa na hasira na akaanza kunipigia kelele kwamba kwa nini nilifikiri bei ingepungua –aliniambia bei na alitegemea ningetakiwa kuikubali na blah blah blah.

Englisch

he got angry and started screaming at me that why would i assume the price could change - he told me the price and i should have accepted it and blah blah blah.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

ole wao waja wazito na wanyonyeshao siku hizo! kwa maana kutakuwa na dhiki kubwa katika nchi, na hasira ya mungu itawajia watu hawa.

Englisch

but woe unto them that are with child, and to them that give suck, in those days! for there shall be great distress in the land, and wrath upon this people.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

huwa nasisimka kwa urahisi na kupandwa na hasira ninaposoma kuhusiana na mambo ya upendeleo, chuki, mbinu chafu, tabia zisizokubalika, rushwa.

Englisch

i'm so easily roused by anger when i read about prejudices, dirty tricks, unjustified behaviour, corruption.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

mijadala ya mtandaoni nchini korea kusini imefurika salamu za rambirambi kwa waathirika na wapendwa wao pamoja na hasira kali dhidi ya nahodha na wafanyakazi ambao waliokolewa mapema zaidi kabla ya abiria.

Englisch

south korean online venues have been inundated with messages of condolences for the victims and their loved ones and intense anger against the captain and crew members who evacuated early , well before most of the passengers.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

je, kuna mtu yeyote anayeamini kuwa chini ya jj, kila mwanjeshi wa nchi kavu wa ndc alikuwa vizuri, kwa hakika la hasha lakini hakuna aliyewachochea kuwa na hasira dhidi yake.

Englisch

does anyone believe that under jj, every ndc foot-soldier was o.k., certainly not but no-one incited them against him.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

akaendelea: "nadhani kwamba dunia yetu imo katika machafuko hivi sasa, vurugu zimechukua nafasi ya maongezi na hasira zimechukua nafasi ya huruma."

Englisch

she continued: “i feel that our world is in a crisis at the present time, violence has replaced dialogue and anger replaced compassion.”

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

ukweli ni kwamba sikuwa na maana ya watu wote duniani walio wazinzi, wachoyo, walaghai na wenye kuabudu sanamu. maana, ili kuwaepa hao wote ingewalazimu ninyi kuihama dunia hii kabisa!

Englisch

yet not altogether with the fornicators of this world, or with the covetous, or extortioners, or with idolaters; for then must ye needs go out of the world.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

hata hivyo, mada iliyowafanya washiriki washikwe na hasira, ilikuwa ni ile iliyotolewa na mshiriki wa ki-syria razan ghazzawi juu ya tafiti inayotengeneza ramani ya ulimwengu wa blogu wa kiarabu iliyofanywa na kituo cha berkman kwa ajili ya intaneti na jamii.

Englisch

the presentation that got participants most riled up, however, was one given by syrian attendee razan ghazzawi on the berkman center for internet & society's study mapping the arabic blogosphere.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

wakiwa gizani wasijue maradhi yanayomsibu kiongozi wao, wa-zambia walipatwa na hasira na kushangazwa na habari zilizotolewa na serikali juma hili kwamba rais wa tano wa nchi hiyo, michael sata, anayefahamika kwa jina la king cobra, alikuwa ameaga dunia jijini london mnamo oktoba 28.

Englisch

left in the dark about their leader's illness, zambians were angry more than shocked to learn this week that the country's fifth president, michael sata, fondly known as king cobra, died in london on october 28.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

habari za asubuhi mpenzi wangu.. sweetheart naelewa kulinda moyo♥. nilipendana nawe papo hapo. sikuwa na hisia hii kwa muda mrefu sana. ninapenda jinsi ulivyonifanya nijisikie ndani. tunashiriki mioyo yetu na kuweka nadhiri ya kulinda. najua wewe ni kusita kuishi na mimi na naweza kuelewa. hata maili nyingi mbali na moyo wangu hakuna anayejua tofauti. wakati mwingine unanifanya nijisikie sawa na wewe. katika akili yangu nimefanya upendo laini, tamu na mpole kwako. mimi kujaribu kuepuka hisia hii lakini anaendelea kuja nyuma.

Englisch

good morning my love.. sweetheart i understand protecting the heart ♥. i fell in love with you instantly. i hadn't had this feeling for such a long time. i love the way you made me feel inside. we share our hearts and vow to protect. i know you're hesitant to live me and i can understand. even many miles away my heart knows no different. sometimes you make me feel right there with you. in my mind i've made soft sweet gentle love to you. i try avoiding this feeling but it keeps coming back. i w

Letzte Aktualisierung: 2022-05-18
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,791,995,958 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK