Sie suchten nach: yanatoa (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

yanatoa

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

makabila yote 64 yanatoa wito kwamba kabila letu ni sudani kusini na ninachagua amani

Englisch

about 64 tribes call #southsudan

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

maoni yanatoa picha ya kuwa watu wameikubali hotuba hiyo angavu lakini wana wasiwasi na kauli tamu.

Englisch

the comments give the impressions of a people appreciative of the bright speech but wary of rhetoric.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

makundi kadhaa yanatoa mifano wa mashambulizi ya kivita yanayofanywa na marekani na mahabusu ya guantanamo, cuba.

Englisch

the groups also cite u.s. drone strikes and the detention center at guantanamo bay, cuba.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

inabaki kuwa kampuni iliyotawala biashara hiyo hata leo, wakati kukiwa na makapuni kama airtel, orange na yu ambayo pia yanatoa huduma kama hiyo.

Englisch

it remains the dominant player today, with other companies such as airtel, orange and yu also offering similar services.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kutoka cuba hadi korea ya kaskazini, maisha yake ya ajabu yanatoa matumaini na matarajio ya demokrasia ya wapinzani, wafungwa wa kisiasa na wanaharakati duniani kote.

Englisch

from cuba to north korea, his extraordinary life gives endless hope to the democratic aspirations of dissidents, political prisoners and activists throughout the world.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

matukio haya yaliandaliwa na wanahabari daniela silva na pedro markun , ni matukio yenye kiingilio bure na yanatoa fursa kwa watengeneza programu za kompyuta, wanahabari na watafiti kukutana pamoja na kutafuta njia za “kukomba’ taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi za ofisi na kutengeneza applications ambazo zitaweza kuleta uwazi na ushiriki kwenye mchakato wa siasa.

Englisch

organized by journalists daniela silva and pedro markun , the event has free entry and is an opportunity for software developers, journalists and researchers to gather together to find ways to “scrape” data from official websites and create applications that bring transparency and participation to the political processes.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,759,521,225 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK