Sie suchten nach: aliyokuwa (Swahili - Latein)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

Latin

Info

Swahili

aliyokuwa

Latin

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Latein

Info

Swahili

alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alienda akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.

Latein

inventa autem una pretiosa margarita abiit et vendidit omnia quae habuit et emit ea

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

baada ya kuwasalimu, paulo aliwapa taarifa kamili kuhusu yote mungu aliyokuwa ametenda kati ya mataifa kwa njia ya utumishi wake.

Latein

quos cum salutasset narrabat per singula quae fecisset deus in gentibus per ministerium ipsiu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ndiyo maana sisi tulifarijika sana. siyo kwamba tulifarijika tu, ila pia tito alitufurahisha kwa furaha aliyokuwa nayo kutokana na jinsi mlivyomchangamsha moyo.

Latein

ideo consolati sumus in consolatione autem nostra abundantius magis gavisi sumus super gaudium titi quia refectus est spiritus eius ab omnibus vobi

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, alipofufuliwa kutoka wafu, wanafunzi wake walikumbuka kwamba alikuwa amesema hayo, wakaamini maandiko matakatifu na yale maneno aliyokuwa akisema yesu.

Latein

cum ergo resurrexisset a mortuis recordati sunt discipuli eius quia hoc dicebat et crediderunt scripturae et sermoni quem dixit iesu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

idumea, ng'ambo ya mto yordani, tiro na sidoni. watu hao wengi walimwendea yesu kwa sababu ya kusikia mambo mengi aliyokuwa ameyatenda.

Latein

et ab hierosolymis et ab idumea et trans iordanen et qui circa tyrum et sidonem multitudo magna audientes quae faciebat venerunt ad eu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha mungu aitwaye ludia mwenyeji wa thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya nguo za kitani za rangi ya zambarau. bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno paulo aliyokuwa anasema.

Latein

et quaedam mulier nomine lydia purpuraria civitatis thyatirenorum colens deum audivit cuius dominus aperuit cor intendere his quae dicebantur a paul

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

"ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyofichika shambani. mtu mmoja aliigundua, akaificha tena. alifurahi sana hata akaenda kuuza yote aliyokuwa nayo, akalinunua shamba lile.

Latein

simile est regnum caelorum thesauro abscondito in agro quem qui invenit homo abscondit et prae gaudio illius vadit et vendit universa quae habet et emit agrum illu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

paulo alikaa bado na wale ndugu huko korintho kwa siku nyingi. kisha aliwaaga, akapanda meli kwenda siria pamoja na priskila na akula. huko kenkrea, alinyoa nywele zake kwa sababu ya nadhiri aliyokuwa ameweka.

Latein

paulus vero cum adhuc sustinuisset dies multos fratribus valefaciens navigavit syriam et cum eo priscilla et aquila qui sibi totonderat in cencris caput habebat enim votu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

basi, sehemu ya maandiko matakatifu aliyokuwa anasoma ilikuwa hii: "alikuwa kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa; kimya kama vile mwana kondoo anaponyolewa manyoya, yeye naye hakutoa sauti hata kidogo.

Latein

locus autem scripturae quam legebat erat hic tamquam ovis ad occisionem ductus est et sicut agnus coram tondente se sine voce sic non aperuit os suu

Letzte Aktualisierung: 2012-05-04
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
8,029,458,893 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK