Results for تعرف translation from Arabic to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Arabic

Swahili

Info

Arabic

أنت لا تعرف

Swahili

hupati kitu

Last Update: 2022-05-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

تعرف على أعضاء الأصوات العالمية الفائزين بجائزة دعم الإنترنت

Swahili

wanajumuia wa global voices washinda tuzo za knight news challenge za kuboresha huduma ya intaneti

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

تعرف العالم عن قرب لما يتعرضه البرازيل من مشاكل خطيرة.

Swahili

yaliyotokea brazili yalianika matatizo makubwa ambayo nchi hiyo inakabiliana nayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

واما الغريب فلا تتبعه بل تهرب منه لانها لا تعرف صوت الغرباء.

Swahili

kondoo hao hawawezi kumfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

ومتى اخرج خرافه الخاصة يذهب امامها والخراف تتبعه لانها تعرف صوته.

Swahili

akisha watoa nje huwatangulia mbele nao kondoo humfuata, kwani wanaijua sauti yake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

‎وانت قادر ان تعرف انه ليس لي اكثر من اثني عشر يوما منذ صعدت لاسجد في اورشليم‎.

Swahili

unaweza kujihakikishia kwamba si zaidi ya siku kumi na mbili tu zimepita tangu nilipokwenda kuabudu yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

تعرف أكثر على قصتهم وعلى الحملة المطالبة بإطلاق سراحهم على المدونة التي تغطي أخبار المحاكمة.

Swahili

unaweza kujifunza kujifunza zaidi kuhusu hadithi yao na kampeni ya kuwatoa kwenye zone9 blogu ya kufuatilia shauri hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

تعرف على المزيد عن القمة وقم بالتسجيل هنا لتكون ضمن احتفالات الذكرى العاشرة لإنشاء الأصوات العالمية.

Swahili

jifunze zaidi kuhusiana na tukio hili, na jiandikishe hapa ili kuwa sehemu ya mkutano huu wa kuadhimisha miaka kumi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

في الحرب، سواء بالنسبة للمدنيين أو الجنود، لا يوجد شيء أكثر رعب من أن لا تعرف.

Swahili

katika vita, kwa raia kama vile ilivyo kwa wanajeshi, hakuna linalotisha zaidi kama kutokujua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Arabic

اجعلوا الشجرة جيدة وثمرها جيدا. او اجعلوا الشجرة رديّة وثمرها رديّا. لان من الثمر تعرف الشجرة.

Swahili

"ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. mti hujulikana kwa matunda yake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

انت تعرف الوصايا. لا تزن. لا تقتل. لا تسرق. لا تشهد بالزور. لا تسلب. اكرم اباك وامك.

Swahili

unazijua amri: usizini; usiue; usiibe; usitoe ushahidi wa uongo; usidanganye; waheshimu baba na mama yako."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

قال له ثالثة يا سمعان بن يونا أتحبني. فحزن بطرس لانه قال له ثالثة أتحبني فقال له يا رب انت تعلم كل شيء. انت تعرف اني احبك. قال له يسوع ارع غنمي.

Swahili

akamwuliza mara ya tatu, "simoni mwana wa yohane! je, wanipenda?" hapo petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: "wanipenda?" akamwambia, "bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi nakupenda." yesu akamwambia, "tunza kondoo wangu!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Arabic

إن كان هدفك هذا الصيف هو إعادة التعرف على الكتاب الناطقين بالفرنسية، هنا بعض الاقتراحات من وجهة نظر مساهمينا في الأصوات العالمية باللغة الفرنسية.

Swahili

kama moja wapo ya malengo yako kiangazi hiki ni kuwafahamu zaidi (au kwa mara nyingine) waandishi wetu wa kifaransa, usihangaike sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,953,463,128 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK