Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
فاذ لنا رجاء مثل هذا نستعمل مجاهرة كثيرة.
kwa vile hili ndilo tumaini letu, sisi twasema kwa uhodari mkuu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
كارزا بملكوت الله ومعلّما بامر الرب يسوع المسيح بكل مجاهرة بلا مانع
alikuwa akihubiri ufalme wa mungu na kufundisha juu ya bwana yesu kristo kwa uhodari, bila kizuizi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
والآن يا رب انظر الى تهديداتهم وامنح عبيدك ان يتكلموا بكلامك بكل مجاهرة
lakini sasa, ee bwana, angalia vitisho vyao. utuwezeshe sisi watumishi wako kuhubiri neno lako kwa uhodari.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
فلما رأوا مجاهرة بطرس ويوحنا ووجدوا انهما انسانان عديما العلم وعاميّان تعجبوا. فعرفوهما انهما كانا مع يسوع.
hao wazee wa baraza, wakiwa wanajua kwamba petro na yohane walikuwa watu wasio na kisomo wala elimu yoyote, walishangaa juu ya jinsi walivyosema kwa uhodari. wakatambua kwamba walikuwa wamejiunga na yesu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: