Results for translation from Chinese (Simplified) to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Chinese (Simplified)

Swahili

Info

Chinese (Simplified)

主 也 必 差 遣 所 豫 定 給 你 們 的 基 督 耶 穌 降

Swahili

fanyeni hivyo ili bwana awape nyakati za kuburudika rohoni na kuwaletea yule kristo aliyemteua ambaye ndiye yesu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

你 們 應 當 祈 求 、 叫 這 些 事 不 在 冬 天

Swahili

ombeni ili mambo hayo yasitukie nyakati za baridi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

因 這 些 事 、   神 的 忿 怒 必 到 那 悖 逆 之 子

Swahili

kwa sababu ya mambo hayo hasira ya mungu huwajia wote wanaomwasi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

我 若 靠 著   神 的 靈 趕 鬼 、 這 就 是   神 的 國 到 你 們 了

Swahili

lakini ikiwa ninawafukuza pepo kwa nguvu ya roho wa mungu, basi jueni kwamba ufalme wa mungu umekwisha fika kwenu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

因 我 們   神 憐 憫 的 心 腸 、 叫 清 晨 的 日 光 從 高 天 到 我 們

Swahili

mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. atasababisha pambazuko angavu la ukombozi litujie kutoka juu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

  神 的 道 理 、 豈 是 從 你 們 出 來 麼 . 豈 是 單 到 你 們 麼

Swahili

je, mnadhani neno la mungu limetoka kwenu ninyi au kwamba limewajieni ninyi peke yenu?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

不 知 不 覺 洪 水 來 了 、 把 他 們 全 都 沖 去 . 人 子 降 也 要 這 樣

Swahili

hawakujua kuna nini mpaka ile gharika ilipotokea, ikawakumba wote. ndivyo itakavyokuwa wakati mwana wa mtu atakapokuja.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

不 要 被 人 虛 浮 的 話 欺 哄 . 因 這 些 事 、   神 的 忿 怒 必 到 那 悖 逆 之 子

Swahili

msikubali kudanganywa na mtu kwa maneno matupu; maana, kwa sababu ya mambo kama hayo ghadhabu ya mungu huwajia wote wasiomtii.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

主 要 降 的 應 許 在 那 裡 呢 . 因 為 從 列 祖 睡 了 以 來 、 萬 物 與 起 初 創 造 的 時 候 仍 是 一 樣

Swahili

na kusema: "aliahidi kwamba atakuja! je, sasa yuko wapi? mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Chinese (Simplified)

  神 也 沒 有 寬 容 上 古 的 世 代 、 曾 叫 洪 水 到 那 不 敬 虔 的 世 代 、 卻 保 護 了 傳 義 道 的 挪 亞 一 家 八 口

Swahili

mungu hakuihurumia dunia ya hapo kale, bali alileta gharika kuu juu ya nchi ile ya watu wasiomcha mungu; lakini noa ambaye alihubiri uadilifu, mungu alimwokoa pamoja na watu wengine saba.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Chinese (Simplified)

亞 那 和 該 亞 法 作 大 祭 司 、 那 時 、 撒 迦 利 亞 的 兒 子 約 翰 在 曠 野 裡 、   神 的 話 到 他

Swahili

na anasi na kayafa walikuwa makuhani wakuu mjini yerusalem. wakati huo ndipo neno la mungu lilipomjia yohane, mwana wa zakariya, kule jangwani.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,904,912,910 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK