From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
on 7 february, brazil evacuated 34 brazilians or family members in addition to four poles, a chinese person, and an indian citizen.
mnamo 7 februari, brazil ilihamisha watu kutoka brazil 34 au watu wa familia zaidi ya hao watu wanne kutoka polandi, mchina, na raia kutoka uhindi.
with the now infamous section 34, things have come round to another galloping dictatorship, and we can see how that corruption of power has changed the characters of those whom we viewed as pillars and exemplars of our society.
kwa kuwa na kipengere cha 34 ambacho hakifahamiki sana miongoni mwa wananchi, hali ya mambo imebadilika na kuwa utawala wa kiimla, na tunaweza kuona ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka yamebadilisha kabisa tabia za wale tuliowaona kama nguzo na mifano ya kuigwa katika jamii yetu.
a systematic review and meta-analysis published on july 11, 2012, found that "use of ace inhibitors was associated with a significant 34% reduction in risk of pneumonia compared with controls."
upitiaji wa kimfumo na uchanganuzi wa meta uliochapishwa tarehe 11 julai, 2013, ulipata kwamba "matumizi ya vizuizi vya ace yalihusishwa na upungufu mkubwa wa asilimia 34 katika hatari ya nimonia ikilinganishwa na vidhibiti."