From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
when he came to his lord with a free heart,
alipo mjia mola wake mlezi kwa moyo mzima.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the march demanded a free quality education as well as active participation in the reform, which is currently being studied.
maandamano yalidai elimu inayotolewa kwa usawa na bure pamoja na ushirikishwaji wa moja kwa moja kwenye mageuzi ya elimu yanayoendelea hivi sasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a free hoder blog was created by online free speech activists shortly after his arrest in 2008.
mara baada ya kukamatwa kwake mwaka 2008, wanaharakati wa uhuru wa kujieleza wa mtandaoni walianzisha blogu ya kudai hoder aachiewe huru.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
believers, when you consult with the messenger, present before your consultation a free will offering.
enyi mlio amini! mnapo sema siri na mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
a believing slavegirl is better than a (free) idolatress, even if she pleases you.
na mjakazi muumini ni bora kuliko mshirikina hata akikupendezeni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
a believing slave is better than a (free) idolater, even though he pleases you.
na mtumwa mwanamume muumini ni bora kuliko mshirikina hata akikupendezeni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if after marriage they commit adultery, they should receive half of the punishment of a free woman who has committed the same crime.
na wanapo olewa kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
gnome is a free, usable, stable, accessible desktop environment for the unix-like family of operating systems.
gnome ni dawati huru, imara, na yenye utumishi mkubwa inayotumika katika os zinazo fuata mifumo ya unix.
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
and give women their dowries as a free gift, but if they of themselves be pleased to give up to you a portion of it, then eat it with enjoyment and with wholesome result.
na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
five minutes from the end of the match, simba got a free-kick on the right wing, near the edge of yanga's box.
dakika tano kabla ya mpira kumalizika, simba wakapata adhabu ndogo kutokea winga ya kulia, karibu na ndani ya lango la yanga.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
#pt " it is my right... and my responsibility.. as a free person.. to protest against oppression and oppressors."
ni haki yangu…ni wajibu wangu…kama mtu huru….kuandamana kupinga ukandamizaji na wakandamizaji
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
believers, in case of murder, the death penalty is the sanctioned retaliation: a free man for a free man, a slave for a slave, and a female for a female.
enyi mlio amini! mmepewa ruhusa kulipa kisasi katika walio uwawa - muungwana kwa muungwana, na mtumwa kwa mtumwa, na mwanamke kwa mwanamke.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
o believers, the lawn of retribution has been prescribed for you in cases of murder; if a free man commits a murder, the free man shall he punished for it and a slave for a slave: likewise if a woman is guilty of murder the same shall he accountable for it.
enyi mlio amini! mmepewa ruhusa kulipa kisasi katika walio uwawa - muungwana kwa muungwana, na mtumwa kwa mtumwa, na mwanamke kwa mwanamke.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
#pt " my mother brought me into this world free and i will give birth to a free baby boy even if it is inside ur prisons." cont'd #bahrain — maryam alkhawaja (@maryamalkhawaja) october 14, 2014
mama yangu alinileta duniani nikiwa huru na mimi kadhalika nitamzaa mtoto aliye huru hata kama nitakuwa gerezani
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.