From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
academy
academy
Last Update: 2024-11-20
Usage Frequency: 1
Quality:
as my colleague and fellow senegalese leopold sédar senghor, elected to the french academy thirty years ago, i am africanist.
na kama mwandani wangu na msenegali mwenzangu, leopold sédar senghor, aliyechaguliwa kuingia taasisi ya kifaransa miaka thelathini iliyopita, mimi ni mtaalamu wa mambo ya kiafrika.
he founded and owns covenant university, one of nigeria’s leading tertiary institutions, and faith academy, an elite high school.
alianzisha na anamiliki chuo kikuu cha covenant, mmoja ya taasisi za elimu ya juu zinazoongoza nchini naijeria, na shule ya sekondari ya kitajiri ya faith academy.
danny boyle's slumdog millionaire, a british social film based on a novel set out in india made a clean sweep at the the 81st academy awards ceremony.
filamu ya danny boyle, slumdog millionaire, iliyotokana na kitabu chenye maudhui ya india imefanya vyema katika sherehe za 81 za tuzo ya academy.
in march this year, i had the opportunity of meeting staff from microsoft offices in seattle, who were in the uk for one day as part of their european trip to speak to clients who are training through the microsoft it academy.
mwezi machi mwaka huu, nilikuwa na fursa ya kukutana na wafanyakazi wa ofisi ya microsoft pale seattle, ambao walikuwa uingereza kwa siku moja kama sehemu ya ziara yao ya ulaya wakizungumza na wateja wao wanaopata mafunzo kwenye chuo chao cha taknolojia na mawasiliano cha microsoft.
though the virus is not generally airborne, the national academy of science has suggested that bioaerosol transmission may be possible and air collectors positioned in the hallway outside of people's rooms yielded samples positive for viral rna.
ingawa kwa kawaida virusi hivyo haviwezi kusambazwa hewani, chuo cha kitaifa cha sayansi kimependekeza kuwa inawezekena kuambukiza kupitia chembechembe za hewa na vikusanya hewa vilivyo katika njia nje ya vyumba vya watu vilikuwa na sampuli chanya za virusi vya rna.
the novel was, at one point, banned in sudan for its inclusion of sexual imagery, yet it was declared “the most important arabic novel of the 20th century” by the syrian-based arab literary academy in damascus.
riwaya hiyo, kwa kipindi fulani, ilizuiliwa nchini sudani kwa vile ilijumuisha lugha ya picha za ngono, hata hivyo imetambuliwa kama “riwaya ya muhimu zaidi ya kiarabu kwenye karne ya 20” na chuo cha fasihi cha kiarabu kilichoko mjini damascus, siria.