From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
adoption
kustawisha
Last Update: 2025-02-28
Usage Frequency: 1
Quality:
for the promotion, adoption and ratification of the united nations convention on disabled people.
kwa kutangazwa, kupitishwa na kuridhiwa kwa mkataba wa umoja wa mataifa kuhusu haki za walemavu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
critical adoption theorists are seeing parallels with the current rushed adoption of haitian children.
wanadharia wanaopinga uasiliwaji wa watoto wanaona mengi yanayofanana na uasiliwaji huu wa haraka haraka kwa watoto wa haiti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
how many prospective adoptive parents have been trained in cross cultural and transracial adoption issues?
wazazi watarajiwa wangapi wameshapata mafunzo kuhusiana na masuala ya kuasili watoto wa tamaduni na rangi tofauti?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
stakeholders in the country’s agricultural sector have begun exploring initiatives to accelerate the adoption of digital agriculture
wadau katika sekta ya kilimo nchini wameanza kuchunguza mipango ya kuharakisha kupitishwa kwa kilimo cha kidijitali
Last Update: 2024-12-11
Usage Frequency: 1
Quality:
of course, as mobileactive also stresses, some problems with local infrastructure remain an obstacle to the widespread adoption of such systems:
bila ya shaka, kama vile mobileactive inavyosisitiza, matatizo kadhaa ya miundombinu yanaendelea kuwa kizuizi kwa matumizi makubwa ya mfumo huo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
conducive, a group blog that frequently debates international adoption, notes that previous rushes to adopt children out of crisis went awry:
conducive, blogu ya kikundi ambayo mara nyingi hujadili uasili wa kimataifa wa watoto, inaona kwamba uharaka wa kuasili watoto baada janga ulikwenda mrama:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the case of the children stopped at the border involved a protestant church adoption group, some of which have advocated international adoption as a means of spreading their own religious views.
suala la watoto kuzuiliwa mpakani likihusisha kukindi cha kuasili cha kanisa la protestanti, baadhi yao wakiwa wametumia uasili wa kimataifa kama namna ya kusambaza maoni yao ya kidini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
for ye have not received the spirit of bondage again to fear; but ye have received the spirit of adoption, whereby we cry, abba, father.
kwa maana, roho mliyempokea si roho mwenye kuwafanya ninyi watumwa na kuwatia tena hofu; sivyo, bali mmempokea roho mwenye kuwafanya ninyi watoto wa mungu, na kwa nguvu ya huyo roho, sisi tunaweza kumwita mungu, "aba," yaani "baba!"
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the bill further prohibits adoption by gay couples; any person who aids, promotes counsels any acts of homosexuality in any way will face up to seven years imprisonment, or risk a fine of sh100m.
mswada pia unawazuia mashoga waliooana kuasili watoto; mtu yeyote anayesaidia, anayetetea ktuoa ushauri wa kisheria kwa tendo lolote la kishoga kwa namna yoyote atakabiliwa na adhabu ya kifungo kisichozidi miaka saba, au kutozwa faini ya shilingi milioni 100 za uganda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the international committee of the red cross, in a statement presented as an interview with one of its child protection officers, said it believed efforts to connect children with family members in haiti should receive priority, and adoption a last resort.
kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu, katika tamko lililoweka kama mahojiano na mmoja wa maofisa wake wa matunzo ya mtoto, ilisema kwamba inaamini kwamba jitihada za kuwaunganisha watoto na familia zao nchini haiti ni lazima zipewe kipaumbele, na kuasili watoto iwe ni hatua ya mwisho kabisa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a counterpart identified as ledice, however, who cares for sixty children in a different facility, calls for relocating kids faster, and cites a lack of government services to approve adoptions, even those underway before the disaster.
mshirika mwenza aliyetambulika kama ledice, hata hivyo, anayewalea watoto sitini katika vituo tofauti, anatoa wito wa kuwahamisha watoto haraka sana, na anaonyesha kutokuwepo kwa huduma za serikali kupitisha maombi ya kuwaasili watoto, hata yale yaliyokuwa yanatazamwa kabla ya janga.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: