From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
dreading some great affliction.
zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and affliction is combined with affliction;
na utapo ambatishwa muundi kwa muundi,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we shall facilitate the path to affliction
tutamsahilishia yawe mazito!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
an inquirer asked for the affliction that is to come
muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so we answered him, and saved him from the affliction.
basi tukamwitikia na tukamwokoa kutokana na dhiki.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
no affliction falls except by the permission of allah.
haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and delivered them and their people from the great affliction.
na tukawaokoa wao na watu wao kutokana na dhiki kubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
no affliction befalls, except it be by the leave of god.
haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we saved them and their people from the great affliction,
na tukawaokoa wao na watu wao kutokana na dhiki kubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he is a warner against the dreadful affliction (that awaits).
yeye si chochote ila ni mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu kali.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but when we removed from them the affliction, at once they broke their word.
basi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do not fabricate a lie against god, or he will destroy you with some affliction.
msimzulie mwenyezi mungu uwongo, asije akakufutilieni mbali kwa adhabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
how will it be when an affliction befalls them because of what they themselves have done?
basi inakuwaje unapo wasibu msiba kwa sababu ya yale iliyo tanguliza mikono yao?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the fire shall scorch their faces, and they therein shall be in severe affliction.
moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and beware of an affliction that will not smite exclusively those among you who have done wrong.
na jikingeni na fitna ambayo haitowasibu walio dhulumu peke yao kati yenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
therefore, brethren, we were comforted over you in all our affliction and distress by your faith:
basi, habari za imani yenu zimetutia moyo katika taabu na mateso yetu yote,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
if we took compassion on them and removed the affliction they are in, they would only wander lost in confusion.
na lau tungeli warehemu na tukawaondolea shida waliyo nayo bila ya shaka wangeli endelea katika upotofu wao vile vile, wakitangatanga.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whatsoever of affliction befalleth you is owing to that which your hands have earned; and he pardoneth much.
na misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu. naye anasamehe mengi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and noah, when he cried of old, we heard his prayer and saved him and his household from the great affliction.
na nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and even if we gave them mercy and removed what was upon them of affliction, they would persist in their transgression, wandering blindly.
na lau tungeli warehemu na tukawaondolea shida waliyo nayo bila ya shaka wangeli endelea katika upotofu wao vile vile, wakitangatanga.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: