Results for aggression translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

aggression

Swahili

waraka

Last Update: 2018-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"stop authoritarian aggression against bloggers.

Swahili

"sitisha vitisho vya nguvu dhidi ya wanablogu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

but do not retain them to hurt them and commit aggression.

Swahili

wala msiwarejee kwa kuwadhuru mkafanya uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the association of journalists of macedonia also contemned the aggression:

Swahili

umoja wa waandishi wa habari nchini masedonia vile vile ulilaani vitendo hivyo vya polisi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

whoever commits aggression after that will have a painful punishment.

Swahili

basi atakaye ruka mipaka baada ya hayo atapata adhabu kali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but whoever commits aggression after that, a painful torment awaits him.

Swahili

na atakaye vuka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and cooperate in righteousness and piety, but do not cooperate in sin and aggression.

Swahili

na saidianeni katika wema na uchamngu. wala msisaidiane katika dhambi na uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but if they desist, there shall be no aggression except against the harmdoers.

Swahili

na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and whoever does that in aggression and injustice - then we will drive him into a fire.

Swahili

na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza motoni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and let not the hatred of people who barred you from the sacred mosque incite you to aggression.

Swahili

wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and do not let your hatred of a people who had barred you from the holy mosque lead you to aggression.

Swahili

wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and you see many of them hastening into sin and aggression and the devouring of [what is] unlawful.

Swahili

na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and whoever does that in aggression and injustice, we will soon make him enter the fire, and that is easy for allah.

Swahili

na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza motoni. na hilo ni jepesi kwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and fight in the way of allah with those who fight against you but do not commit aggression because aiiah does not like aggressors.

Swahili

na piganeni katika njia ya mwenyezi mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. kwani mwenyezi mungu hawapendi waanzao uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and fight in the cause of god those who fight you, but do not commit aggression; god does not love the aggressors.

Swahili

na piganeni katika njia ya mwenyezi mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. kwani mwenyezi mungu hawapendi waanzao uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

indeed allah enjoins justice and kindness, and generosity towards relatives, and he forbids indecency, wrongdoing, and aggression.

Swahili

hakika mwenyezi mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa; na anakataza uchafu, na uovu, na dhulma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

fight against the leaders of the unbelievers if they violate their established peace treaty with you and revile your faith, to force them to stop their aggression against you.

Swahili

na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao, na wakatukana dini yenu, basi piganeni na waongozi wa ukafiri. hakika hao hawana viapo vya kweli.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

additional settlements can be seen only as an act of aggression, showing utter disregard not just for the human and civil rights of the palestinian people, but for international law.

Swahili

makazi ya ziada yanaweza kuonekana tu kama kitendo cha uchokozi, kuonyesha kupuuza si tu kwa haki za binadamu na kiraia ya watu wa palestina, lakini kwa sheria za kimataifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

have you not considered those who were forbidden from private conversation, then they return to that which they were forbidden and converse among themselves about sin and aggression and disobedience to the messenger?

Swahili

kwani huwaoni wale walio katazwa kunong'onezana kisha wakayarudia yale yale waliyo katazwa, na wakanong'ona juu ya mambo ya dhambi, na ya uadui, na ya kumuasi mtume?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and fight in god's cause against those who wage war against you, but do not commit aggression -- for surely, god does not love aggressors.

Swahili

na piganeni katika njia ya mwenyezi mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. kwani mwenyezi mungu hawapendi waanzao uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,742,770,584 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK