Results for airport translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

airport

Swahili

uwanja wa ndege

Last Update: 2015-03-29
Usage Frequency: 6
Quality:

Reference: Wikipedia

English

view from bahrain international airport.

Swahili

mandhari ya nje kutokea uwanja wa kimataifa wa bahrain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

tonight's piece from the airport.

Swahili

hii ndio habari ya usiku wa leo kutokea uwanja wa ndege.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

i am at the airport now see you tomorrow

Swahili

sasa niko airport

Last Update: 2024-04-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

2 the road to the airport has brand new streetlights.

Swahili

barabara inayoelekea uwanja wa ndege ina taa mpya za barabarani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

russia: domodedovo airport blast · global voices

Swahili

urusi: mlipuko katika kiwanja cha ndege cha domodedovo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

but then only the way from the airport to the town centre.

Swahili

lakini ni katika njia hiyo tu kutokea uwanja wa ndege mpaka katikati ya jiji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

president obama arriving at julius nyerere international airport.

Swahili

rais obama akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

charvey notices an unusually big number of ads in a vietnam airport

Swahili

charvey amebaini matangazo mengi kuliko kawaida katika uwanja wa ndege wa vietnam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

just returned from rafiq hariri airport, scenes there are terrible.

Swahili

ndiyo kwanza nimerudi kutoka uwanja wa ndege wa rafiq hariri, yanayoonekana huko yanatisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

bahrain: journalists denied entry at the airport · global voices

Swahili

bahrain: waandishi wa habari wazuiwa kuingia wakiwa uwanja wa ndege

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

karachi airport under siege as number of attacker are between 15-20.

Swahili

magaidi watatu wako ndani ya uwanja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

a bomb exploded at moscow's domodedovo airport, at least ten casualties reported.

Swahili

bomu lililipuka katika kiwanja cha ndege cha domodedovo mjini moscow, kwa uchache vifo vya kadri ya watu kumi vimeripotiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

family members rushed to kuala lumpur international airport when informed about the flight mh17 crash.

Swahili

wanafamilia wakikimbilia uwanja wa ndege wa kimataifa kuala lumpur baada ya kujulishwa kuwa ndege mh17 imeanguka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

after maryam was arrested at the airport, she was accused of hitting a member of the police force.

Swahili

baada ya maryam kukamatwa uwanja wa ndege, alituhumiwa kumpiga polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

@omarc: hmm, sms tweets not workin... at doha airport, en route to bahrain.

Swahili

@omarc: ala! twita kupitia ujumbe mfupi wa maneno hazifanyi kazi ... nipo uwanja wa ndege wa doha, kuelekea bahrain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

dear customer, your parcel has arrived safely at the department of freight and cargo, moi international airport changamwe mombasa kenya

Swahili

ndugu mteja, sehemu yako imefika salama katika idara ya mizigo na uchukuzi, uwanja wa ndege wa kimataifa wa moi changamwe mombasa kenya

Last Update: 2023-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i could feel progress everywhere i looked, and this was just on the way from the airport to my aunt's house.

Swahili

niliweza kuhisi maendeleo kila nilipopatazama, na hiii ilikuwa ni katika safari yangu ya kutoka uwanja wa ndege kulekea nyumbani kwa shangazi yangu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

3 tuesday (for sure, other days to be confirmed) the road between airport and town centre will be blocked.

Swahili

3. jumanne (kwa hakika, na siku nyingine zitathibitishwa) baranbara kati ya uwanja wa ndege na katikati ya jiji zitafungwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"pic by a friend stuck there - m. qasim. #rangers can be seen at the airport"

Swahili

shughuli za kutua na kupaa kwa ndege zimesitishwa kwa muda kwenye uwanja wa ndege kimataifa wa jinnah ulioko karachi kufuatia hali ya kukosekana usalama.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,645,391,154 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK