Results for allowing translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

allowing

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

hence to him allowing street vendors is empowering zambians.

Swahili

kwa hiyo kwake kuruhusu “wamachinga” ni kuwawezesha wa-zambia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all of this is really allowing africa to play a major part in global scientific collaborations.

Swahili

vyote hivi vinaiwezesha afrika kutimiza wajibu wake kikamilifu katika kushirikiana na sehemu nyingine duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is god who made the night for you, that you may rest therein; and the day allowing sight.

Swahili

mwenyezi mungu aliye kufanyieni usiku ili mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

gnome also includes a complete development platform for applications programmers, allowing the creation of powerful and complex applications.

Swahili

gnome inatimiza zana mbalimbali za utungaji wa maprogramu zinazowezesha uundaji wa maprogramu bora.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

the two hour session was also streamed online, allowing bloggers to participate via webcam through microblogging site, twitter.

Swahili

mahojiano hayo ya masaa mawili yalirushwa moja kwa moja kwenye mtandao, na kuwawezesha wanablogu kushiriki kupitia kamera za kwenye mtandao kwenye tovuti ya twita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those arguing for the vuvuzela maintain that it is part of the great south african soccer culture and that not allowing it would truly be an injustice.

Swahili

wale wanaotetea vuvuzela wanasema kwamba vuvuzela ni sehemu ya utamaduni wa mpira wa miguu afrika kusini na kwamba kutokuliruhusu kuatakuwa ni uvunjaji wa haki. takataka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allowed unto you is the beast of the flock except that which is rehearsed unto you, not allowing the chase while ye are in a state of sanctity.

Swahili

mmehalalishiwa wanyama wa mifugo, ila wale mnao tajiwa. lakini msihalalishe kuwinda nanyi mmo katika hija.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after a coup in march, the new and weakened government of andry rajoelina issued sweeping decrees allowing the harvest and export of wood from protected forests and world heritage sites.

Swahili

baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwezi machi, serikali mpya dhaifu ya andry rajoelina ilitoa amri za haraka zinazoruhusu uvunaji na usafirishaji nje wa magogo kutoka kwenye misitu inayohifadhiwa na maeneo ya hifadhi za historia duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is the prayer of this blog, that constitutional order will prevail and that the legacy, honour and dignity of the president will be honoured by allowing peace and constitutional order to prevail.

Swahili

ni maombi ya blogu hii kwamba utaratibu wa katiba utafuatwa na kwamba urithi, heshima na hadhi ya rais itaheshimiwa kwa kuruhusu amani na utaratibu a katiba kufuatwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i think the message would truly stick with people allowing them to act on it…these texts are psa’s for cell phones."

Swahili

nadhani ujumbe utawafikia watu na kunasa na utawahamasisha kuchukua hatua… jumbe hizi ni sawa na matangazo kwa ya wazi kwa umma kwa kutumia simu za viganjani."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the rbd of sars-cov is capable of recognizing the ace2 receptors of various animals, including bat, civet, mouse and raccoon dog, allowing interspecies transmission of the virus.

Swahili

rbd ya sars-cov ina uwezo wa kutambua vipokezi vya ace2 vya wanyama mbalimbali, ikiwa ni pamoja na popo, ngawa, panya na mbwa, na kuruhusu usambazaji wa virusi baina ya viumbe.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@arybastacks: i don't know why police are still allowing people along the whole moi av. stretch... what if there is a second blast? #moiavenueblast

Swahili

@arybastacks: sijui kwa nini polisi bado wanaruhusu watu kwenda eneo la tukio...itakuwaje kama kuna mlipuko mwingine?#moiavenueblast

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,839,706 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK