Results for amira translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

amira

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

amira howeidy provides context:

Swahili

amira howeidy anaonyesha muktadha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amira al hussaini tweets a fun fact

Swahili

amira al hussaini aandika ukweli unaofurahisha

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on her blog amira al tahawi wrote: yes!

Swahili

katika blogu yake amira al tahawi aliandika: ndio!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amira al hussaini is impressed by the number of yemeni bloggers

Swahili

amira al husseini avutiwa na idadi ya wanablogu wa yemen

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amira al hussaini shared another of tawileh's tidbits:

Swahili

amira al hussaini pia alishirikisha dondoo nyingine kutoka kwa tawileh:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amira alhussaini, our mena editor, moderated the discussion along with me.

Swahili

amira alhussaini, mhariri wetu wa afrika kaskazini na uarabuni, aliongoza majadiliano hayo akiwa nami.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, cairo-based egyptian journalist amira howeidy notes:

Swahili

wakati huo huo, mwandishi wa habari anayeishi cairo amira howeidy anabainisha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i urge every egyptian woman to return the favor and defend amira who lost her job.

Swahili

ninatoa wito kwa kila mwanamke mmisri kurudishia fadhila kwa kumtetea amira aliyepoteza kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i am asking all women's rights organizations to show their solidarity with amira.

Swahili

ninayaomba mashirika yote ya haki za wanawake kuonyesha mshikamano wao na amira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amira got fired and is being denied her financial and moral rights because she said no!

Swahili

amira amefukuzwa kazi na amenyimwa haki zake za fedha na maadili kwa sababu alisema hapana!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

bahraini participant amira al hussaini attended a presentation by the lead of the new rising voices project in yemen.

Swahili

mshiriki wa ki-bahraini amira al hussaini alihudhuria mada iliyotolewa na kiongozi wa mradi wa sauti zinazokua nchini yemen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mostafa fathi also posted a note on facebook and karim el beheiry published a post on his blog in solidarity with amira.

Swahili

mostafa fathi pia aliweka makala yake kwenye facebook na karim el beheiry akaiweka posti hiyo kwenye blogu yake kushikamana na amira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amira wrote the details on her blog so let's give her a louder voice and let everyone know the truth.

Swahili

amira aliandika kwa kina kwenye blogu yake kwa hiyo hebu na tumpe sauti kubwa zaidi ili kila mtu aujue ukweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

dr. mostafa el nagaar wrote in amira's defense saying: amira is now suffering the dire consequences of her professionalism and nobility.

Swahili

dkt. mostafa el nagaar aliandika katika utetezi wa amira akisema: amira sasa anaathirika na matokeo ya utaaluma na uthamani wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

egyptians began wondering if egypt will start importing chinese hymens and amira al tahawi, who used to work with radio netherlands at the time, got fired for blowing the whistle over the fabricated chinese hymen story.

Swahili

wamisri wameanza kujiuliza ikiwa misri itaanza kuingiza ‘vijingozi hivyo vya bikra’ na amira al tahawi, ambaye alikuwa akifanya kazi na radio uholanzi kwa wakati huu, alifukuzwa kazi kwa kupuliza kipenga dhidi ya habari hiyo ya ‘bikra ya kichina.’

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

our hangout participants included gv syria author, leila nachawati, founder of syria untold, an online storytelling project dedicated to the non-violent syrian uprising; our runet echo editor kevin rothrock who spoke about the putin and mc cain opeds and how they were perceived by the russian internet; amira al hussaini, our mena editor, touched on citizen media and mainstream media coverage of syria within the middle east and north africa; solana larsen, our managing editor spoke about the role of citizen media in mainstream portrayal of syria, ellery biddle our advocacy editor spoke about how the calls for us intervention are being interpreted by us netizens, and ivan sigal our executive director gave his opinion on why syrian coverage is being shaped the way it is around the world.

Swahili

washiriki wa mazungumzo yetu hayo ya mtandaoni walikuwa ni pamoja na mwandishi wa gv syria, leila nachawati, mwanzilishi wa syria untold, mradi wa kupashana habari mtandaoni uliojikita kwenye mapinduzi ya amani yanayofanywa na wananchi wa syria; mhariri wetu wa runet echo kevin rothrock aliyezungumza kuhusu putin na mc cain opeds na namna wanavyotazamwa na mitandao ya urusi; amira al hussaini, mhariri wetu wa mashariki ya kati na afrika kaskazini, aliyegusia habari zilizikuwa zinaandikwa na vyombo vya habari vya kiraia na vyombo vikuu vya habari ndani ya mashariki ya kati na afrika kaskazini; solana larsen, mhariri mtendaji alizungumzia kuhusu wajibu wa vyombo vya habari vya kiraia katika taswira inayojengwa na vyombo vikuu vya habari kuhusu syria, ellery biddle mhariri wa utetezi aliyezungumza namna wito wa kuiomba marekani kuingilia kati mgogoro huo inavyotafsiriwa na raia wa marekani mtandaoni na ivan sigal mkurugenzi mtendaji aliyetoa maoni yake kuhusu namna habari za syria zinavyoumbwa kuwa vile zilivyo duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,789,569 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK