From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in some areas of africa, there is no telecommunications coverage.
kwenye baadhi ya maeneo ya afrika, hakuna mtandao wa mawasiliano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ghana pundit posted another article that touched upon a new area of concern:
mwanablogu ghana pundit aliweka makala nyingine ambayo iligusia eneo jingine la kutilia maanani:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i know that there is a religious wave that is starting to have an impact on all areas of our life.
ninajua kwamba kuna wimbi la kidini linaloanza kuathiri kila sehemu ya maisha yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the citizen, a local newspaper, has identified several of the most concerning areas of the bill for internet users.
gazeti linalochapishwa nchini tanzania, the citizen, limebainisha maeneo kadhaa makuu kwenye muswada huo yatakayowaathiri watumiaji wa mtandao wa intaneti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
more than 500 dead wild water birds appeared in the lake areas of inner mongolia since this summer as a result of water pollution.
zaidi ya ndege wa majini 500 wameonekana wakiwa wamekufa katika eneo la maziwa nchini mongolia tangu kuanza kwa majira ya kipindi cha joto kutokana na maji kuchafuliwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
writing for southeast asia globe, denise hruby reported how the mentally ill in many rural areas of cambodia are being treated:
akiandika kwa niaba ya southeast asia globe, denise hruby aliripoti jinsi wagonjwa wa akili katika maeneo mengi ya vijijini vya cambodia wanavyofanyiwa:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
no sick days or pto required - just tell your manager and help your team revise calendars and schedules to make sure key areas of work are covered.
hakuna siku za ugonjwa au pto inayohitajika - mwambie tu meneja wako na usaidie timu yako kupitia kalenda na ratiba ili uhakikishe maeneo makuu ya kazi yameshughulikiwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
lebanese politicians are being accused by activists of using rising tensions between syrians refugees and lebanese inhabitants of some areas of lebanon for politically-motivated purposes.
wanasiasa wa kilebanoni wanatuhumiwa na wanaharakati kwa kutumia migogoro kati ya wakimbizi wa syria na wenyeji wa baadhi ya maeneo ya lebanoni kwa makusudi ya kisiasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it was already a subject of concern during the 1970s, notably in the context of discussions about new world information and communication order (nwico).
limekuwa suala la mjadala tangu miaka ya 1970, hususani katika mikhtadha ya mijadala kuhusu utaratibu wa mawasiliano na habari katika dunia mpya (new world information and communication order, nwico).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this trend is especially strong in the area of moscow and st. petersburg.
tabia hii ina nguvu katika maeneo ya moscow na st. petersburg.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
each city hosting a twestival will be given the opportunity to select an area of education to support.
kila mji utakaokuwa na tamasha la twestival utapewa fursa ya kuchagua sehemu ya elimu ambayo wataiunga mkono.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
during this time, water in the urban area of the city will be provided via depressurisation technics, but the water supply in gaoping district and remote areas will be suspended.
katika kipindi hiki, kwa maeneo ya mijini, maji yatakuwa yakitolewa kupitia mbinu ya kupunguza kani eneo, lakini hakutakuwa na maji kwa mtaa wa gaoping na maeneo mengine ya pembezoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
he explained his connection with global voices and how kenyan technology continues to innovate, particularly in the area of mobile.
alieleza kuhusu uhusiano wake na jumuiya ya sauti za dunia na jinsi teknolojia ya kenya inavyozidi kuwa ya ubunifu, hasa katika sekta ya vifaa vya mkononi kama simu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i personally think it's good and want to see harmony in every area of thailand."
binafsi, nafikiri ni jambo jema na ninataka kuona mshikamano kila mahali nchini thailand.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
in this regard, molecular determinants in this important area of virus-host interaction remain to be identified and characterized.
kwa mintaarafu hii, vibainishi vya kimolekuli katika sehemu hii muhimu ya mwingiliano baina ya virusi na mbebaji wake bado havijatambuliwa na kuainishwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
it was at 18:58 that a t959dhv registered car driven by joseph bahati an employee of the suma jkt security company working in the crdb area of the factory in the mining market area of the country with the aim of getting inside where before the trunk was closed he turned on the car and wanted to enter, causing the trunk to deteriorate where the trunk could not close and open again, then reported to the leader. geti alilitengeneza usku huku likaanza kufanya kufanya kazi lakini bado halijarudi halijarudi kama lilivyo kuwa mwanzo
ilikuwa majira ya saa18:58 gari yenye usjili wa t959dhv iliyokuwa ikiendeshwa na joseph bahati mwajiriwa wa kampuni ya ulinzi ya suma jkt anayefanya kazi katika lindo la crdb lililopo ndani ya kiwanda eneo la soko la madini mwanza kwa lengo la kuingia ndani ambapo kabla ya getini kufungiliwa lote yeye aliwasha gari na kutaka kuingia ndipo aipogonga getini na kusababisha geti kuharibika ambapo geti halikuweza kufunga na kufungua tena ndipo lipotoa taarifa kwa kiongozi wa zama ya usiku yusuph lule
Last Update: 2023-06-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.