Results for arresting translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

is arresting lawyers the future direction of judicial reform?

Swahili

hivi kweli kukama wanasheria ndio mwelekezo mpya wa kuboresha mahakama?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

human rights group suaram defended zunar and lambasted the government for arresting its critics:

Swahili

kikundi cha haki za binadamu suaram kilimtetea zunar na kuilaani serikali kwa kuwaweka kizuizini wakosoaji wake:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

some 300 protesters in the city of sao paulo turned out to demand the release of previous demonstrators, yet the police responded by arresting six more.

Swahili

baadhi ya waandamanaji 300 kwenye jiji la sao paulo waligeuka na kuanza kudai kuachiliwa huru kwa waandamanaji waliokamatwa kabla, lakini bado polisi ilijibu madai hayo kwa kuwakamatwa wengine sita zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

there are a number of female and male detainees in jerusalem. #j14 police keep arresting people and piling them into police vans.

Swahili

polisi wanaendelea kuwakamata watu na kuwajaza katika magari yao yapolisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a journalist from the web portal novatv, sashka cvetkovska, told radio free europe that they had initially been granted a permit by police authorities to take photos and videos of the riots, but things seemed to change when the police started arresting the protesters:

Swahili

mwandishi kutoka kwenye chombo cha habari cha mtandaoni kiitwacho novatv, sashka cvetkovska, aliiambia radio free ulaya kwamba walikuwa wamepewa ruhusa na polisi kupiga picha na kuchukua vieo za ghasia hizo, lakini mambo yanaonekana yalibadilika wakati polisi walipoanza kuwakamata waandamanaji:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the bbc set up this facebook page in an effort to avoid the systematic attack on the rule of law and liberties which followed may’s coup, including the banning of political gatherings and arresting and detaining hundreds of politicians and anti-coup activists.

Swahili

bbc iliweka ukurasa huu wa facebook kama jitihada zake za kukwepa mashambulizi kuhusu masuala ya utawala wa sheria na dhana ya uhuru kufuatia mapinduzi ya mwezi mei, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ya kisiasa na kukamatwa kwa mamia ya wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mapinduzi ya kijeshi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,920,077,398 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK