Results for art and craft translation from English to Swahili

English

Translate

art and craft

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the museum has a collection of roman art and some european paintings.

Swahili

jumba lenyewe lina mkusanyiko wa michoro kutoka roma na ulaya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of no avail to them was all that they did (with such art and care)!

Swahili

hayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

global voices spoke to fiadeiro about her art and how sketching has helped her get to know mauritania.

Swahili

global voices ilizungumza na fiadeiro kuhusu kazi yake ya sanaa na namna michoro yake ilivyomsaidia kuifahamu mauritania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so i will use it as a tool to convey people’s voice through art and to push for total reform for a better malaysia.

Swahili

kw ahiyo nitakitumia kama zana ya kupaza sauti ya watu kupitia sanaa na kushinikiza mabadiliko kwa maslahi ya malaysia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

activists demonstrated outside the chinese arts and crafts department store on october 4.

Swahili

wanaharakati wakiandamana nje ya jumba la sanaa la kichina na ghala la idara ya vito oktoba 4.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and i heard the angel of the waters say, thou art righteous, o lord, which art, and wast, and shalt be, because thou hast judged thus.

Swahili

nikamsikia malaika msimamizi wa maji akisema, "ewe mtakatifu, uliyeko na uliyekuwako! wewe ni mwenye haki katika hukumu hii uliyotoa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

forasmuch then as we are the offspring of god, we ought not to think that the godhead is like unto gold, or silver, or stone, graven by art and man's device.

Swahili

ikiwa basi, sisi ni watoto wa mungu, haifai kumfikiria mungu kuwa kama dhahabu, fedha au hata jiwe lililochongwa na kutiwa nakshi na binadamu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

saying, we give thee thanks, o lord god almighty, which art, and wast, and art to come; because thou hast taken to thee thy great power, and hast reigned.

Swahili

wakisema: "bwana mungu mwenye uwezo, uliyeko na uliyekuwako! tunakushukuru, maana umetumia nguvu yako kuu ukaanza kutawala!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

arts and culture sector organizations attempted to uphold their (often publicly funded) mission to provide access to cultural heritage to the community, maintain the safety of their employees and the public, and support artists where possible.

Swahili

mashirika katika sekta za sanaa na utamaduni zilijaribu kuidhinisha lengo lao (ambalo kikawaida hufadhiliwa na umma) kutoa uwezo wa kufikia turathi za kitamaduni kwa jumuiya, kudumisha usalama wa waajiriwa wao na umma na kusaidia wasanii panapowezekana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,898,889,081 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK