Results for artists translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

videos of x tanzanian artists

Swahili

video za x wasanii wa tanzanian

Last Update: 2018-06-23
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

you want x x videos about artists

Swahili

uunataka video za x za kutombana za wabongo

Last Update: 2018-10-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

jamaica: children as artists · global voices

Swahili

jamaica: watoto kama wasanii

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

blinky has paved the road for many more artists to join him.

Swahili

blinky amefungua njia ya wasanii wengine wengi kujiunga naye.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cambodia: internet censorship targets artists · global voices

Swahili

kampuchea: vikwazo vya intaneti vyalenga wasanii

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

african photographers, writers and artists find their voice in blogs · global voices

Swahili

wapiga picha wa kiafrika, waandishi na wasanii wapata sauti zao kwenye blogu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

thanks to him and his fellow artists, janowitz says, something positive may come out of san pedro sula.

Swahili

shukrani zimwendee yeye pamoja na wasanii wenzake, janowitz anasema kuwa, kuna mengi mazuri yataanza kuonekana san pedro sula.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

blinky and his fellow artists strive to give young people another option — to stay, in peace.

Swahili

blinky pamoja na wasanii wenzake wanafanya kila juhudi kuwapa vijana njia mbadala ya kujieleza kwa amani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ordosgoitti says artists are usually blocked or censored because of complaints filed by other users with access to their accounts.

Swahili

ordosgoitti anasema wasanii hufungiwa au kufuatiliwa shauri ya malalamiko yanayotoka kwa watumiaji wengine wa mtandao wanaoona mashapisho yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

janowitz says one of the artists' main goals is to work with children, take them off the streets and teach them about art.

Swahili

janowitz anasema kuwa, moja ya malengo yao makubwa ni kufanya kazi na watoto, kuwatoa mitaani na kuwafundisha sanaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

from music videos of her songs to lyrics to photos of her performing with fellow artists and fans, one can feel a more intimate connection with nyota ndogo through her blog.

Swahili

kutoka kwenye video za nyimbo zake mpaka kwenye mashairi ya nyimbo zake mpaka kwenye picha zake zinazomwonyesha akitumbuiza na wasanii wenzake na mashabiki wake, mtu anaweza kujisikia kuunganishwa na kuwekwa karibu zaidi na nyota ndogo kwa kupitia blogu yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in that number of growing blogs, a lot of african artists have also joined in with a huge increase noted in poetry blogs as well as emerging photography and visual arts blogs.

Swahili

kwa tarakimu hiyo ya kukua kwa blogu, wasanii wengi wa kiafrika wamejiunga, na ongezeko kubwa likionekana kwenye blogu za mashairi kama ilivyo kwa upigaji picha unaochipukia na blogu za sanaa za maonyesho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but the same criteria has been applied to a broad range of images, from breastfeeding mothers to artists whose works reveal nipples, penises, and in particular, vaginas.

Swahili

lakinikigezo hicho hicho kimetumika kuhakiki aina mbalimbali za michoro na picha, kuanzia ile ya akina mama wanaoonekana kunyonyesha mpaka kwa wasanii ambao kazi zao zinaonesha chuchu, sehemu za siri za kiume, na hata zile za kike.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this post will be the first in a series of publications that will address the different ways of dealing with art censorship, based on the stories of erika ordosgoitti and other artists who have been restrained by social networks' terms of service and by social conventions.

Swahili

makala hii itakuwa ya kwanza katika mfululizo wa machapisho yatakayojadili namna mbalimbali za kushughulikia suala la kudhibitiwa kwa sanaa hii, kwa kutumia masimulizi ya erika ordosgoitti na wasanii wnegine waliobanwa na masharti na vigezo vya mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na makubaliano ya kijamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

federico, who is a mandaya (lumad indigenous people from the eastern part of mindanao), encourages younger artists to enrich their knowledge of philippine culture by integrating with ethnic communities.

Swahili

federico, ambaye ni wa kabila la mandaya (jamii ya wazawa wa lumad kutoka mashariki ya mindanao), anawahamashisha wasanii wachanga kuongeza maaarifa yao kuhusu utamaduni wa ufilipino kwa kujumuika na jamii za wazawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

artist

Swahili

utamaduni wa wa swahili

Last Update: 2020-06-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,642,002,395 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK