From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
water supplies will also be held in reserve for the dry season at two damns further downstream of the sanaga river, thereby enabling them to generate more electricity.
maji yatahifadhiwa kwa matumizi hasa wakati wa ukame katika mabwawa hayo yaliyopo kwenye mto wa sanaa, hivyo kusaidia kuzalisha umeme zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in uganda, these celebrations were interrupted when bombs exploded at two popular nightlife spots in kampala, the country's capital.
nchini uganda usherehekeaji huu ulikatishwa pale milipuko ya mabomu iliposambaratisha maeneo mawili maarufu kwa sherehe za mpaka majogoo jijini kampala, mji mkuu wa nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they filmed two members of their group, of apparently the same age and dressed similarly, trying to enter the same bank at two different moments, carrying the very same bag filled with metal - keys, coins, mobile phone.
waliwarekodi wanachama wao wawili katika filamu, ambao wana rika moja na waliovalia mavazi yanayofanana, wakijaribu kuingia benki katika benki moja katika nyakati tofauti, huku wakiwa wamebeba mikoba iliyojaa vyuma – funguo, sarafu, simu za mkononi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.