Results for attacking translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

complete families/ attacking them cannot be excused.

Swahili

wote wanaowashambulia hawawezi kuvumiliwa kamwe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the video below shows the police attacking members of the press.

Swahili

video hapa chini inaonesha polisi wakiwashambulia waandishi wa vyombo vya habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they can hardly restrain themselves from attacking those who recite our revelations.

Swahili

hukaribia kuwavamia wale wanao wasomea hizo aya zetu. sema: je!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

natives of the region are using poison and other weapons against lions that are attacking their goats.

Swahili

wenyeji wa mkoa wanatumia sumu na silaha nyingine dhidi ya simba ambao huwashambulia mbuzi wao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

protests are contained, they say, in citizens attacking policemen, who retaliate in self-defense, goes the story.

Swahili

imekuwa kawaida kusikia kauli kama, ‘waandamanaji wamedhibitiwa wakati wakiwashambulia polisi, ambao nao walijihami kwa kushambulia’ na kuendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

last june, he was sentenced to 15 years in absentia and given a 100,000 egyptian pound fine after being convicted of attacking a police officer and violating a 2013 protest law that prohibits unauthorized demonstrations.

Swahili

mwezi juni mwaka jana, alihukumiwa miaka 15 jela bila kuwepo mahakamani na aliamuriwa kulipa faini ya paundi 100,000 za misri baada ya kushitakiwa kwa kosa la kumshambulia ofisa wa polisi na kukiuka sheria ya kuandamana ya 2013 inayozuia maandamano yasiyoruhusiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@adel_salib: someone is surprised that the police were watching while the shia were being murdered when two months ago the police were attacking the cathedral.

Swahili

@adel_salib: mtu fulani anaweza kushangazwa kuwa polisi walikuwa wakishuhudia wakati waumini wa shia walipokuwa wakiuliwa, wakati kwa upande mwingine miezi miwili iliyopita, polisi walishambulia parokia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have you not seen the people who were told: "hold back your hands (from attacking), observe your devotional obligations and pay the zakat?"

Swahili

je, huwaoni wale walio ambiwa: izuieni mikono yenu, na mshike sala na mtoe zaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

mnarfezhom is accused of four separate counts of insulting and slandering people, attacking their honour and reputation and offending bahraini families using indecent expressions through social media accounts on twitter and instagram under the names al raqeeb, ahfad al waleed, ahfad omar and mnarfezhom.

Swahili

mnarfezhom anatuhumiwa kutumia majina manne tofauti kuwatukana na kuwadhalilisha watu, akiwavunia heshima na hadhi yao na kudhalilisha familia za wabahraini kwa kutumia maneno ya kuudhi kupitia mitandao ya kijamii ya twita na instagram kwa kutumia majina manne tofauti al raqeeb, ahfad al waleed, ahfad omar na mnarfezhom.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@maykamel now that #mbareterrorists are attacking people in #tahrir with live ammo, cnn live is not interested to air. #cnn_stop_lying_about_egypt

Swahili

@maykamel wakati huu ambapo mb wamekuwa magaidi na wanashambulia watu kwenye viwanja vya tahrir kwa silaha, matangazo ya moja kwa moja ya cnn hayaoni sababu ya kuonyesha hali hiyo #cnn_stop_lying_about_egypt

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,166,023,782 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK