Results for august translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

august

Swahili

agosti

Last Update: 2014-07-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

children in tripoli in august 2011.

Swahili

watoto wakiwa huko tripoli, agusti, 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

photo by ppiimages on 1 august 2011.

Swahili

picha ya ppiimages tarehe 1 august 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the bloggers' trial begins on august 4, 2014.

Swahili

shauri la wanablogu hao limeanza mnamo agosti 4, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

because the blind man had come in his august presence.

Swahili

kwa sababu alimjia kipofu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

mrie: no, they kidnapped her in the middle of august.

Swahili

mrie: hapana, walimteka katikati ya mwezi agusti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

sotloff disappeared in august last year while reporting in syria.

Swahili

sotloff hakuonekana kuanzia mwezi wa agosti mwaka jana akipasha habari kutoka syria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as a fan of president kagame, this august campaign is about you.

Swahili

kama shabiki wa rais kagame, kampeni hii ya agosti inakuhusu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

just terrible! — bernard matungwa (@bmatungwa) august 9, 2015

Swahili

inatisha kabisa! — bernard matungwa (@bmatungwa) august 9, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

its facebook page, created on the 30 august, has over 2,900 likes.

Swahili

its ukurasa wa facebook, ulioanzishwa tarehe 30 agosti, tayari unafuatiliwa na watu 2,900.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

for what explains the fact that this page has gone non-updated since august of 2009.

Swahili

maana kuna ukweli unaoonyesha kwamba ukurasa huu haujafanyiwa marekebisho mapya tangu mwezi agosti 2009.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

after an appeal by his lawyers, abd el fattah was issued a retrial in august 2014.

Swahili

baada ya rufaa iliyokatwa na wanasheria wake, kesi ya abd el fattah ilisikilizwa upya mnamo agosti 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

elif yavuz meeting with former us president bill clinton during his visit to tanzania in august 2013.

Swahili

elif yavuz akikutana na rais wa zamani bill clinton wakati wa ziara yake nchini tanzania mwezi agosti 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the tearful good bye on the 18th of august by musharraf came barely four days after the celebrations of the 61st independence day.

Swahili

kuaga huku kulikotawaliwa na machozi kulikofanya na musharraf mnamo tarehe 18 agosti mwaka huu kulikuja zikiwa zimepita siku nne tu tangu taifa liadhimishe sherehe za miaka 61 ya uhuru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

a former roman catholic bishop, fernando lugo, was recently sworn in as the new president of paraguay on august 15.

Swahili

askofu wa zamani wa kanisa katoliki, fernando lugo, hivi karibuni aliapishwa kama rais mpya wa paraguai, tarehe 15 agosti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the 16th summit of the non-aligned movement started amid heavy security presence in tehran, august 26, 2012.

Swahili

mkutano wa 16 wa umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote ulianza mnamo tarehe 26 agosti, 2012 jijini tehran huku kukiwa na ulinzi mkali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

ah, the benefit of regular exercise. — craig (@another_craig) august 6, 2013

Swahili

oh, ndio faida ya zoezi hili huru. — craig (@another_craig) august 6, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as highly expected by the fans, president paul kagame was among the four candidates cleared yesterday by the the national electoral commission to contest in the august 09 poll.

Swahili

kama ilivyokuwa imetarajiwa na marafiki wengi, rais paul kagame, alikuwa ni mmoja kati ya wagombea wanne waliopata kibali jana cha tume ya taifa ya uchaguzi kugombea katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 9 agosti mwaka huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

however, once the protests calmed down over two months, the niss began releasing detainees; august 17 marked the largest number of detainees released.

Swahili

hata hivyo, baada ya kutulia kwa maandamano hayo zaidi ya miezi miwili tangu yaanze #sudanrevolts, shirika la ujasusi limeanza kuwaachia mahabusu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as of 31 august, nearly 1,900 people in guinea, liberia, nigeria and sierra leone have died, according to the world health organisation.

Swahili

kufikia mwezi agosti 31, takribani watu 1,900 katika nchi za guinea, liberia, naijeria na sierra leone wamepoteza maisha yao, kwa mujibu wa shirika la afya duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,794,103,566 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK