Results for authorisation translation from English to Swahili

English

Translate

authorisation

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

n95 respirators are approved for industrial settings but the fda has authorised the masks for use under an emergency use authorisation (eua).

Swahili

vipumulio vya n95 vimeidhinishwa kwa mazingira ya viwanda lakini fda imeidhinisha barakoa kutumiwa chini ya idhini ya matumizi ya dharura (eua).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the who recommended volunteers take part in trials of the effectiveness and safety of potential treatments.the fda has granted temporary authorisation to convalescent plasma as an experimental treatment in cases where the person's life is seriously or immediately threatened.

Swahili

who ilipendekeza watu wa kujitolea kushiriki katika majaribio ya ufanisi na usalama wa matatibabu yanayowezekana. fda imetoa idhini ya muda ya kusambaza kingamwili kama matibabu ya majaribio katika matukio ambayo maisha ya mtu huyo yametishiwa sana au mara moja.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on 28 march 2020, the fda issued an emergency use authorisation for hydroxychloroquine and chloroquine at the discretion of physicians treating people with covid-19.the chinese 7th edition guidelines also include interferon, ribavirin or umifenovir for use against covid-19.

Swahili

tarehe 28, machi 2020, fda ilitoa idhini ya matumizi ya dharura ya hydroxychloroquine na chloroquine kwa hiari ya madaktari wanaotibu watu wenye ugonjwa wa covid-19. miongozo ya toleo la 7 la wachina pia inajumuisha matumizi ya interferon, ribavirin au umifonovir ili kuzuia covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,862,982,026 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK