Results for aviation translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

aviation

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

very shocking news for aviation industry and those onboard!

Swahili

habari za kusikitisha kuhusiana na tasnia ya usafiri wa anga na wale waliokuwepo kwenye ndege hiyo!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a wikipedia article about commercial aviation catastrophes was edited by vgtrk.

Swahili

makala ya wikipedia kuhusu kuanguka kwa ndege ya mh17 ilihaririwa na vgtrk.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

why would the advent of another brand name into the aviation space generate so much public discourse?

Swahili

kwa nini basi kuingia tu kwa jina jipya katika kibiashara ya safari za anga kusababishe majadiliano makali namna hii?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he also clarified that the aircraft’s flight route, even if it passed directly above a conflict zone, was declared safe by the international civil aviation organisation.

Swahili

alifafanua kwamba njia ya ndege hiyo angani, hata kama ilikuwa inapita juu ya eneo lenye mgogoro, ilitangazwa kuwa salama na shirika la kimataifa la safari za anga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

earlier this morning, the russian-language wikipedia entry for commercial aviation accidents hosted one such skirmish, when someone with an ip address based in kyiv edited the mh17 record to say that the plane was shot down “by terrorists of the self-proclaimed donetsk people’s republic with buk system missiles, which the terrorists received from the russian federation.”

Swahili

mapema asubuhi hii, ukurasa wa kirusi wa wikipedia ulikuwa na andiko lililohusu kuanguka kwa ndege hiyo, ambapo mtumiaji mmoja mwenye alama ya utambulisho wa kompyuta iliyoko kyiv alihariri habari za mh17 kusema kwamba ndege hiyo ilitunguliwa 'na magaidi waliojitangazia nchi inayoitwa jamhuri ya watu wa donetsk kwa kutumia makombora ya kisasa, yaliyotoka kwenye shirikisho la urusi."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,736,253,839 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK