Results for avoiding translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

morsi also calls for avoiding bloodshed:

Swahili

morsi anatoa wito wa kuepusha umwagaji wa damu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the u.s. and canadian governments recommend avoiding travel by cruise ship.

Swahili

serikali za marekani na canada zinapendekeza kuepuka kusafiri kwa meli ya abiria.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

rather we have brought them their reminder. yet they keep avoiding their reminder.

Swahili

bali tumewaletea ukumbusho wao, nao wanajitenga mbali na ukumbusho wao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in fact, we have given them their message, but they keep avoiding their message.

Swahili

bali tumewaletea ukumbusho wao, nao wanajitenga mbali na ukumbusho wao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is more equitable in the eyes of god, and better as evidence and best for avoiding doubt.

Swahili

ili ikiwa mmoja wao akipotea, mmoja wao amkumbushe mwengine. na mashahidi wasikatae waitwapo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the stupor of death will come in truth: "this is what you have been avoiding!"

Swahili

na uchungu wa kutoka roho utamjia kwa haki. hayo ndiyo uliyo kuwa ukiyakimbia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

this means minimising contact with others by keeping a distance of six feet or two meters from them and avoiding gathering together in groups.

Swahili

hii inamaanisha kupunguza kutangamana na watu kwa kuweka umbali wa futi sita au mita mbili kutoka kwao na kuepuka kukusanyika pamoja kwa makundi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed whosoever purifies himself (by avoiding polytheism and accepting islamic monotheism) shall achieve success,

Swahili

hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

o timothy, keep that which is committed to thy trust, avoiding profane and vain babblings, and oppositions of science falsely so called:

Swahili

timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: "elimu".

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

if you keep avoiding the cardinal sins that are forbidden to you, we will forgive you your other (lesser) sins and admit you into a noble place.

Swahili

mkiyaepuka makubwa mnayo katazwa, tutakufutieni makosa yenu madogo, na tutakuingizeni mahali patukufu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that is more equitable in the sight of allah and more sure for testimony, and the best way of avoiding doubt between you; save only in the case when it is actual merchandise which ye transfer among yourselves from hand to hand.

Swahili

hayo ndiyo haki zaidi mbele ya mwenyezi mungu, na ndiyo sawa zaidi kwa ushahidi, na vyema zaidi ili msiwe na shaka. ila ikiwa ni biashara ya mkono-kwa-mkono baina yenu, basi hapo si vibaya kwenu msipo iandika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

be afraid of your lord (by keeping your duty to him and avoiding all evil), and fear a day when no father can avail aught for his son, nor a son avail aught for his father.

Swahili

mcheni mola wenu mlezi, na iogopeni siku ambayo mzazi hatamfaa mwana, wala mwana hatamfaa mzazi kwa lolote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they ascribe to allah what they (themselves) hate and their tongues relate the lie that they shall have the good; there is no avoiding it that for them is the fire and that they shall be sent before.

Swahili

na wanampa mwenyezi mungu wanavyo vichukia wao, na ndimi zao zinasema uwongo kwamba wao watapata mema. hapana shaka hakika wamewekewa moto, nao wataachwa humo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

good morning my love.. sweetheart i understand protecting the heart ♥. i fell in love with you instantly. i hadn't had this feeling for such a long time. i love the way you made me feel inside. we share our hearts and vow to protect. i know you're hesitant to live me and i can understand. even many miles away my heart knows no different. sometimes you make me feel right there with you. in my mind i've made soft sweet gentle love to you. i try avoiding this feeling but it keeps coming back. i w

Swahili

habari za asubuhi mpenzi wangu.. sweetheart naelewa kulinda moyo♥. nilipendana nawe papo hapo. sikuwa na hisia hii kwa muda mrefu sana. ninapenda jinsi ulivyonifanya nijisikie ndani. tunashiriki mioyo yetu na kuweka nadhiri ya kulinda. najua wewe ni kusita kuishi na mimi na naweza kuelewa. hata maili nyingi mbali na moyo wangu hakuna anayejua tofauti. wakati mwingine unanifanya nijisikie sawa na wewe. katika akili yangu nimefanya upendo laini, tamu na mpole kwako. mimi kujaribu kuepuka hisia hii lakini anaendelea kuja nyuma.

Last Update: 2022-05-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,891,304,412 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK