Results for barred translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

they are barred from hearing.

Swahili

hakika hao wametengwa na kusikia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the satans are barred from listening to anything from the heavens.

Swahili

hakika hao wametengwa na kusikia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

police barred a group of activists from marching near the pope's motorcade.

Swahili

polisi wakiwazuia wanaharakati kadhaa kuandamana karibu na msafara wa papa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not let the enmity of those who barred you from the sacred mosque lead you into sin.

Swahili

wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and let not the hatred of people who barred you from the sacred mosque incite you to aggression.

Swahili

wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and do not let your hatred of a people who had barred you from the holy mosque lead you to aggression.

Swahili

wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they traded away god's revelations for a cheap price, so they barred others from his path.

Swahili

wamenunua thamani ndogo kwa ishara za mwenyezi mungu, na wakazuilia watu na njia yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but that she served, apart from god, barred her, for she was of a people of unbelievers.'

Swahili

na yale aliyo kuwa akiyaabudu badala ya mwenyezi mungu yalimzuilia. hakika yeye (malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is they who disbelieved, and barred you from the sacred mosque, and prevented the offering from reaching its destination.

Swahili

hao ndio walio kufuru na wakakuzuieni msiingie msikiti mtakatifu, na wakawazuilia dhabihu kufika mahala pao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

kabila is barred by the constitution from seeking a third term, however his term would be automatically prolonged until the census is completed.

Swahili

kabila anazuiwa na katiba ya nchi hiyo kugombea kwa kipindi cha tatu, ingawa kwa kampeni ya sasa itabidi andelee kutawala mpaka sensa itakapokamilika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and why should allah not punish them, when they have barred others from the sacred mosque, although they were not its guardians?

Swahili

lakini wana jambo gani hata mwenyezi mungu asiwaadhibu, na hali ya kuwa wanawazuilia watu msikiti mtakatifu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they have taken their oaths as a covering, and barred from god's way; so there awaits them a humbling chastisement.

Swahili

wamefanya viapo vyao ni ngao, na wakaipinga njia ya mwenyezi mungu. basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but she and her people prostrate to the sun instead of allah. and satan has made their deeds seem pleasing to them and barred them from the path, and therefore they are not guided.

Swahili

nimemkuta yeye na watu wake wanalisujudia jua badala ya mwenyezi mungu; na shet'ani amewapambia vitendo vyao na akawazuilia njia. kwa hivyo hawakuongoka,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

satan made their deeds seem decorous to them, thus he barred them from the way [of allah], though they used to be perceptive.

Swahili

na shet'ani aliwapambia vitendo vyao, na akawazuilia njia, na hali walikuwa wenye kuona.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aad and thamood, it has become clear to you from their dwellings; satan made their works seem fair to them and barred them from the path, although they saw clearly.

Swahili

nanyi yamekwisha kubainikieni kutokana na maskani zao. na shet'ani aliwapambia vitendo vyao, na akawazuilia njia, na hali walikuwa wenye kuona.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not take oaths to deceive each other, lest your foot should slip after its firmness, lest you should taste evil, for you barred others from the path of allah, and lest a mighty punishment awaits you.

Swahili

wala msifanye viapo vyenu ni njia ya kudanganyana baina yenu. usije mguu ukateleza badala ya kuthibiti, na mkaonja maovu kwa sababu ya kule kuzuilia njia ya mwenyezi mungu, na mkapata adhabu kubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not let your wrath against the people who have barred you from the holy mosque move you to commit undue transgressions; rather, help one another in acts of righteousness and piety, and do not help one another in sin and transgression.

Swahili

wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui. na saidianeni katika wema na uchamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the ways of heaven so that i may look upon the god of moses, because i think that he is a liar' and so pharaoh's evil deeds were made to seem fair to him, and he was barred from the way.

Swahili

njia za mbinguni ili nikamwone mungu wa musa. na kwa hakika mimi bila ya shaka namjua kuwa ni mwongo tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"i found her and her people worshipping the sun instead of allah, and shaitan (satan) has made their deeds fair-seeming to them, and has barred them from (allah's) way, so they have no guidance,"

Swahili

nimemkuta yeye na watu wake wanalisujudia jua badala ya mwenyezi mungu; na shet'ani amewapambia vitendo vyao na akawazuilia njia. kwa hivyo hawakuongoka,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,899,229,641 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK