Results for befalls translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

bewailing when evil befalls him,

Swahili

inapo mgusa shari hupapatika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and niggardly when good befalls him

Swahili

na inapo mgusa kheri huizuilia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when evil befalls him, he despairs.

Swahili

na inapo mgusa shari hukata tamaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

neither drowsiness befalls him nor sleep.

Swahili

hashikwi na usingizi wala kulala.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when distress befalls man, he supplicates us.

Swahili

na dhara inapo mgusa mtu hutuomba.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

verily the torment of thine lord is sure to befalls

Swahili

hakika adhabu ya mola wako mlezi hapana shaka itatokea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but your wife will suffer the fate that befalls the others.

Swahili

wala yeyote miongoni mwenu asitazame nyuma, isipo kuwa mkeo, kwani yeye utamfika msiba utakao wafika hao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when hardship befalls you, you begin to cry out to him.

Swahili

kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia yeye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

no affliction befalls, except it be by the leave of god.

Swahili

haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whatever hardship befalls you is the result of your own deeds.

Swahili

na misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they hate to see your success and rejoice if any misfortune befalls you.

Swahili

ikikupateni kheri huwaudhi. na ikikupateni shari wanafurahia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

no misfortune ever befalls unless it be by allah's leave.

Swahili

haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when a misfortune befalls them, they say, “this is from you.”

Swahili

na likiwafikilia ovu wanasema: hili limetoka kwako wewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when distress befalls you at sea, those whom you invoke besides him are forsaken.

Swahili

na inapo kufikieni taabu katika bahari, hao mnao waomba wanapotea, isipo kuwa yeye tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whatever blessing you have is from god, and to him you turn for help when distress befalls you,

Swahili

na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa mwenyezi mungu. kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia yeye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if affliction befalls you, it is what your own hands have earned, but he pardons a lot.

Swahili

na misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu. naye anasamehe mengi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whatever good befalls you, it is from god: and whatever ill befalls you is from yourself.

Swahili

jema lilio kufikia limetokana na mwenyezi mungu. na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whatever blessing you have is from allah, and when a distress befalls you, you make entreaties to him.

Swahili

na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa mwenyezi mungu. kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia yeye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if some good should befall you, it upsets them, but if some ill befalls you, they rejoice at it.

Swahili

ikikupateni kheri huwaudhi. na ikikupateni shari wanafurahia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so let those who oppose his orders beware, lest an ordeal strikes them, or a painful punishment befalls them.

Swahili

basi nawatahadhari wanao khalifu amri yake, usije ukawapata msiba au ikawapata adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,651,319,501 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK