From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
budget
wa ndani
Last Update: 2019-04-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
budget support was suspended.
msaada wa bajeti ulisitishwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"lavish budget but poor plan?"
"bajeti ya kifahari lakini mpango duni?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
where did d 1trillion presidential budget go?
bajeti ya rais ya trilioni 1 ilikwenda wapi?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
you know what budget doesn’t match this trend?
unajua kuwa bajeti halisi za nchi zetu haziendani na hali hii?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he knows the budget of one person in ngorongoro for one week
anaeujua budget ya mtu mmoja ngorongoro kwa week moja
Last Update: 2021-09-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bangladesh's budget: comments and analysis · global voices
bajeti ya bangladesh: maoni na uchambuzi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
3 crore (usd 600,000) per episode is this high budget production.
3 crore (dola za kimarekani 600,000) kwa kila onyesho la kipindi kwani utengenezaji wa kipindi hiki unagharimu sana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chenge is still in parliament and currently serves as the chairman of the powerful parliamentary budget committee.
chenge bado yupo bungeni na kwa sasa ni mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya bunge.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
an ordinary citizen posts comments and analysis on the recent bangladesh budget for the financial year 2013-2014.
raia wa kawaida anatoa maoni na kuichambua bajeti ya hivi karibuni ya bangladesh kwa mwaka wa fedha 2013-2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
speaking to afp he said that a country can not prosper if only 2% of the economic budget is spent on education.
akizungumza na shirika la habari a afp alisema kwamba nchi haiwezi kuendelea endapo tu ni asilimia 2 ya bajeti za nchi inatumika kwa ajili ya elimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mozambique relies on money from other governments that give aid directly to its state budget, making possible essential services like health and education.
msumbiji inategemea fedha kutoka serikali nyingine ambazo zinatoa msaada moja kwa moja kwenye bajeti yake ya taifa, kuwezesha huduma muhimu kama afya na elimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to explain the reduced room to manoeuvre despite a growing global budget, magistrates recall that the root cause is the increase in personnel costs in research organisations.
katika kuelezea kuondoshwa kwa uwezekano wa udanganyifu pamoja na kuongezeka kwa bajeti ya kidunia, inaonyesha kuwa sababu ya msingi ni kuongezeka kwa gharama za wataalam katika mashirika ya utafiti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
achille52 explains that the educational system is the first to suffer and that this budget cut will have dire consequences on the future of the nation (fr):
achille52 anaeleza kwamba mfumo wa elimu ndiyo wa kwanza kuathiriwa na punguzo hilo la bajeti na kwamba jambo hili litakuwa na madhara makubwa sana kwa taifa kwa siku za usoni (fr):
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to the world bank, the struggle of the malagasy economy has already forced the government to slash $200 million usd for the public service from their national budget.
kwa mujibu wa benki ya dunia, hali ngumu ya uchumi wa madagaska tayari umeilazimisha serikali kupunguza kiasi cha dola za marekani milioni 200 kutoka katika bajeti ya kitaifa ya huduma za jamii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as a follow-up to her post about "the absurdity of cutting the budget for the college of the bahamas", blogworld says:
akifuatilia posti yake kuhusu "ujinga wa kupunguza bajeti kwa chuo cha bahamas", blogworld anasema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
these moves by the president along with the financial minister's new mini-budget, have very definitely restored confidence in a leadership which appeared to be losing control.
hatua hizi zilizochukuliwa na rais pamoja na bajeti mpya ndogo ya waziri wa fedha, vimerudisha imani kwa kiasi kikubwa katika utawala ulioonekana kuanza kukosa nguvu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
benoît illassa in cotonou wonders why private investing groups from either niger or cotonou were not selected to pilot such projects. the projected budget is set at 100 billions cfa (about 2 billions usd).
benoît illassa mjini cotonou anashangaa kwa nini vikundi binafsi vya kuwekeza kutoka aidha niger au cotonou havikuchaguliwa kuelekeza miradi hiyo.bajeti ya makadirio imewekewa kati ya mabilioni 100 za cfa (takribani dola bilioni 2).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
budget airline jambo jet was launched, nmg’s county paper nairobi news was launched and then killed off, entertainment website izvipi was relaunched and sauti sol released a controversial, but popular, video for their new song ‘nishike”.
tovti ya budget airline jambo jet ilizinduliwa, gazeti linalomilikiwa na kampuni ya nmg liitwalo nairobi news lilizinduliwa na kufanikiwa, tovuti ya burudani ya izvipi nayo ilianzishwa na sauti sol ilitoa video ya wimbo wao mpya iliyoibua mjadala mkali, lakini ilijipatia umaarufu, ‘nishike”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: