Results for cadre translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

in a dramatic shift the anc released a statement early this morning saying that it is within the right of a senior cadre not to partake in government deals.

Swahili

katika mabadiliko ya msimamo ya ghafla anc ilitoa tamko mapema leo asubuhi linalosema kuwa ni haki ya kada mwandamizi kutojihusisha na mikataba ya serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

both senior government officials and ruling party cadres were not happy with the publication for keenly following and exposing mr sata’s condition and there were many attempts to shut down the online publication which was at times blocked for access to people in zambia.

Swahili

maafisa waandamizi wa serikali na makada wa chama tawala hawakufurahishwa na habari hizo zilizokuwa zikifuatilia kwa makini na kuweka wazi hali ya mhe sata na kulikuwa na majaribio mengi ya kuifungia tovuti hiyo ambayo kwa nyakati kadhaa ilizuiwa kuifanya isipatikane kwa wasomaji wanaoishi zambia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,636,450,218 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK