Results for calibration factor ( translation from English to Swahili

English

Translate

calibration factor (

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

x-factor arguments

Swahili

move za x za kismmwahili

Last Update: 2022-07-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the steps of the x-factor

Swahili

move za x kizungu

Last Update: 2024-08-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

coronaviruses vary significantly in risk factor.

Swahili

virusi vya korona hutofautiana sana kwa kiwango cha hatari.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i do not know what the meaning of a factor?

Swahili

sijui nini maana a factor of?

Last Update: 2016-11-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

malaria as a risk factor for covid 19 in western kenya

Swahili

tafsiri kwa ajili yangu hii malaria kama sababu ya hatari ya covid 19 katika kenya ya magharibi

Last Update: 2020-07-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

when i made the decision to join the sdp, pay was not a key factor.

Swahili

nilipofanya uamuzi wa kujiunga na chama cha sdp (singapore democratic party) malipo halikuwa suala la msingi sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

when i made the decision to join politics in 2006, pay was not a key factor.

Swahili

nilipofanya uamuzi wa kuingia kwenye siasa mwaka 2006, suala la malipo halikuwa kichocheo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

china is the driving factor in the ivory trade, yet claims they are not responsible for poaching.

Swahili

china ni kichocheo cha biashara ya pembe za ndovu, lakini hata hivyo inadai haihusiki na uwindaji haramu wa tembo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he also said that the major factor for pedophilia in pakistan was the easy access of people to children due to the negligence of parents.

Swahili

alieleza pia kwamba sababu kubwa ya kuwepo kwa vitendo vya kuwaingilia kimwili na kuwanajisi watoto nchini humo inatokana na uwezekano wa watu kuwa karibu na watoto kutokana na upuuzwaji unaofanywa na wazazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

besides three viral factors stated above, viral interaction with host receptor is another key factor influential on interspecies transmission.

Swahili

kando na vigezo vitatu vya virusi vilivyotajwa hapa juu, mwingiliano wa virusi vipokezi vya mbebaji ni kigezo kingine muhimu chenye ushawishi kwenye usambazaji baina ya viumbe.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

age: age was the most important factor for the prognosis of sars, which is also true for covid-19.

Swahili

umri: umri ilikuwa kigezo muhimu katika kuchunguza sars, ambacho pia ni ukweli katika covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it also identified how travel and tourism “comprised another risk factor contributing to children’s vulnerability.”

Swahili

utafiti huo pia umeonyesha namna kusafiri na utalii "ni hatari nyingine inayochangia shida za kudhalilishwa zinazowakumba watoto."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

from syria, nasdaq on the other hand was occupied with analyzing the different reasons people get behind a certain team, highlighting religion as a factor:

Swahili

kutoka syria, nasdaq nasdaq kwa upande mwingine alikuwa amezama katika kuchambua sababu tofauti za watu kuwa nyuma ya timu fulani, anapendekeza dini kuwa mojawapo ya sababu :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

what many don't know is that a major factor in our success is the intense rivalry that exists among our high schools, that starts at age 11 and continues for a lifetime.

Swahili

wasichokijua wengi ni kwamba sababu kubwa ya mafanikio yetu ni ushindani mkali uliopo kwenye mashule yetu ya sekondari, ushindani ambao huanzia katika umri wa miaka 11 na kudumu maisha yote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if you factor in the countries that have had more than one episode of term-limited presidents stepping down, suddenly the odds look pretty good for the consolidation of the norm of term limits in sub saharan africa.

Swahili

na kama ukiingiza na nchi ambazo zimewahi kuwa na zaidi ya tukio moja la marais waliolazimishwa na katiba kuachia madaraka na wakafanya hivyo, hali inaonekana kuwa nzuri kwa kuwa na ukomo wa madaraka katika eneo la kusini mwa jangwa la sahara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

factors

Swahili

nini maana ya sababu

Last Update: 2020-06-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,796,751,819 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK