From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
to him [alone] is the supplication of truth.
wa kuombwa kweli ni yeye tu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
to him [alone] is attributed knowledge of the hour.
ujuzi wa kuijua saa ya kiyama unarudishwa kwake tu mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
who is it that can intercede with him except by his permission?
ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but as far as i am concerned, god alone is my lord and i set up no partners with him.
lakini yeye mwenyezi mungu ndiye mola wangu mlezi. wala simshirikishi na yeyote.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and he said, how can i, except some man should guide me? and he desired philip that he would come up and sit with him.
huyo mtu akamjibu, "ninawezaje kuelewa bila mtu kunielewesha?" hapo akamwalika filipo apande juu, aketi pamoja naye.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and even if i go back to my lord, there will surely still be the best for me with him."
na hata nikirudishwa kwa mola wangu mlezi bila ya shaka nina mema yangu kwake!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
with him (alone) is the knowledge of the hour, he sends down the rain, and knows that which is in the wombs.
na yeye ndiye anaye iteremsha mvua. na anavijua viliomo ndani ya matumbo ya uzazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
on the morrow they left the horsemen to go with him, and returned to the castle:
kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapanda farasi waendelee na safari pamoja na paulo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
say: is it that ye deny him who created the earth in two days? and do ye join equals with him?
sema: hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for him (alone) is the word of truth (i.e. none has the right to be worshipped but he).
wa kuombwa kweli ni yeye tu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
verily allah! with him alone is the knowledge of the hour, and he it is who sendeth down the rain and knoweth that which is in the wombs: and no person knoweth whatsoever it shall earn on the morrow, and a person knoweth not in whatsoever land he shall die.
na anavijua viliomo ndani ya matumbo ya uzazi. na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
is it that ye are afraid of spending sums in charity before your private consultation (with him)?
mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he said, 'it grieves me that you should go with him, and i fear the wolf may eat him, while you are heedless of him.'
akasem: kwa hakika inanihuzunisha kwamba nyinyi mwende naye, na ninaogopa asije mbwa mwitu akamla nanyi mmeghafilika naye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
(he alone is) the lord of the east and the west, la ilaha illa huwa (none has the right to be worshipped but he). so take him alone as wakil (disposer of your affairs).
mola mlezi wa mashariki na magharibi, hapana mungu isipo kuwa yeye, basi mfanye kuwa mtegemewa wako.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.