Results for carnival translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

french caribbean: carnival 2009 is launched · global voices

Swahili

karibeani ya kifaransa: tamasha la kanivali 2009 lazinduliwa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

carnival is a tradition, a part of every west indian soul and the french caribbean is no exception.

Swahili

kanivali ni utamaduni, sehemu ya uhai wa kila muhindi wa magharibi na bila kuwaacha wale wa karibeani ya kifaransa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lilie belle in maguyane decribes carnival in french guiana and provides an answer to the question :

Swahili

lilie belle katika blogu ya maguyane anaielezea kanivali inavyokuwa katika gayana ya kifaransa na anatoa jibu la swali hilo :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many occasions have taken place around the country to mark this special day, which started with the kampala carnival on sunday 7 october.

Swahili

shughuli nyingi zimefanyika katika nchi hiyo kusherehekea siku hii maalumu, ambayo ilianza kwa onyesho la kampala siku ya jumapili oktoba 7.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

here is a review of blogs from martinique, french guiana, haiti and guadeloupe, which highlights the features of carnival there.

Swahili

ufuatao ni muhtasari wa blogu kutoka martiniki, gayana ya kifaransa, haiti na guadalupe, ambao unaelezea mambo yanavyokuwa kwenye kanivali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the carnival celebration is not enough to reinforce the national sense of belonging in the absence of a popular memory, a joint identity and institutions sponsoring citizenship.

Swahili

sherehe hizo za kitaifa hazitoshi kuhamasisha hisia za utaifa wakati kumbukumbu muhimu hazipo, utambulisho wa pamoja na taasisi zinazofadhili uraia hazipo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in brevesdeguyane, we learn about the kick-off of carnival in french guiana and discover pictures illustrating the french guianese tradition of the “touloulous“.

Swahili

katika blogu ya brevesdeguyane, tunajifunza jinsi kanivali inavyozinduliwa huko gayana ya kifaransa na tunazivumbua picha za vielelezo vya utamaduni wa kiguyana ya kifaransa wa “touloulous”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in gangelt, the disease was spread by carnival festivals, and spread to younger people, causing a relatively lower mortality, and not all covid-19 deaths may have been formally classified as such.

Swahili

huko gangelt, ugonjwa huo ulienezwa katika sherehe za kanivali, na kuenezwa kwa vijana, na kusababisha vifo visivyo vingi, na sio vifo vyote vya covid-19 vinaweza kuorodheshwa rasmi kwa namna hiyo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another trend in these discussions is the issue of other musical genres besides dancehall (i.e. soca and calypso, hip hop, rap etc.), especially as jamaica enters its carnival season - a time when imported soca music takes centre stage across the island.

Swahili

mwelekeo mwingine katika majadiliano haya yanahusu mitindo mingine ya muziki ukiachilkia mbali muziki wa dancehall (yaani, soca na calypso, hip hop, miziki ya kufoka n.k.), hasa kutokana na kwamba jamaika ndiyo inaingia kwenye msimu wa kanivali – kipindi ambacho miziki ya soca inachukua jukwaa la kati visiwani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,924,799,611 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK