From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mr ndugai ordered that the chadema supremo be kicked out for disregarding his orders to sit down.
bwana ndugai alitoa amri kuwa, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani atolewe katika ukumbi wa bunge kwa kukataa kutii amri ya kukaa.
chadema led calls for him to go when he was implicated in a corruption scandal that culminated in his resignation in 2009.
chadema waliongoza mapambano ya kumtaka kuachia madaraka wakati alipotuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya ufisadi iliyomlazimisha achukue uamuzi wa kujiuzulu 2008.
an american in tanzania writes about her experience at a political rally for the main opposition party, chadema:
mmarekani aliye nchini tanzania anaandikakuhusu uzoefu wake baada ya kuhudhuria mkutano wa kisiasa ulioendeshwa na chama kikuu cha upinzani, chadema:
he announced his intention to run for the opposition bloc chama cha demokrasia and maendeleo (chadema) shortly after.
muda mfupi baadae, alieleza nia yake ya kujiunga na chama cha upinzani, chama cha demokrasia and maendeleo (chadema).
an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.
mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.
and then there was the incident five months ago, when a chadema mp was thrown out of the chamber for interrupting a colleague of his from ccm, during a debate on the budget.
ndipo, miezi mitano tena baadae, lilipotokea tukio la mbunge wa chadema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa kuingilia hotuba ya mbunge mwenzake kutoka chama tawala, ccm wakati wa mjadala wa bajeti ya serikali.
after lowassa’s defection, a number of key members of the ruling party including members of parliament, councilors and regional officials followed him to chadema.
baada ya kutoka chama tawala, wanachama wengine kadhaa wa kutoka chama tawala wakiwemo wabunge, madiwani na viongozi wengine wa mikoani nao walihamia kwenye chama kikuu cha upinzani, chadema.
(though even if a chadema activist who had been killed in this way, the police's actions would still have been disproportionate and wrong.)
(ingawa hata kama mfuasi wa chadema angeuawa namna hii, bado vitendo hivyo vya polisi visingekuwa sahihi.)
on thursday afternoon i attended a chadema (chama cha demokracia na maendeleo, or party of democracy and development) political rally for doctor slaa, the most popular opposition presidential candidate on the mainland.
siku ya alhamis nilihudhuria mkutano wa chadema (chama cha demokracia na maendeleo au party of democracy and development) cha dakta slaa, ambaye ni mgombea mwenye mvuto zaidi kwa upande wa upinzani tanzania bara.
in april 2011, for example, ezekiel wenje, a member of parliament (mp) from the leading opposition party chadema, drew the ire of the speaker anna makinda with his comment that certain government positions are selected via the 'dark market'.
kwa mfano, aprili 2011, ezekiel wenje, mbunge wa kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani, chadema aliamsha hasira ya spika anna makinda kufuatia matamshi yake kuwa baadhi ya nyadhifa fulani za serikali zinachaguliwa kupitia “njia za udanganyifu”.