From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this is what you used to challenge.”
haya ndiyo mliyo kuwa mkiyahimiza.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they will not be able to challenge god.
nao si wenye kushinda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
a growing challenge for the developing world
tatizo linaloendelea
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nothing in the heavens or the earth can challenge god.
na hapana kitu kinacho weza kumshinda mwenyezi mungu mbinguni wala katika ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
you cannot challenge god in the heavens or in the earth.
na nyinyi si wenye kushinda katika ardhi wala katika mbingu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
despite sisi's landslide win, amro ali sets a challenge:
pamoja na ushindi huo wa kishindo wa sisi, amro ali anaonyesha changamoto:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
screenshots of some of the participant videos from the indigenous language challenge
picha mnato za video za washiriki wa shindano la lugha za asili
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
to replace them by a better people and none can challenge our power.
kuwabadili kwa walio bora kuliko wao; na sisi hatushindwi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those who try to challenge our miracles will be the dwellers of hell."
na wanao jitahidi kuzipinga aya zetu hao ndio watu wa motoni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
however, those who try to challenge our revelations will face the most painful torment.
na wale walio jitahidi kuzipinga ishara zetu wakaona watashinda, hao watapata adhabu mbaya yenye uchungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
here are two examples of participants in this challenge, who uploaded their videos to youtube.
hapa kuna mifano miwili ya washiriki wa zoezi hili, walioweka video kwenye mtandao youtube.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
monica peters takes the opportunity for the challenge to show the translations of works in kanienkeha.
monica peters anachukua fursa ya kushiriki zoezi hili kwa kuonesha tafsiri za kazi zake kwenye kanienkeha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the wife says mr. rawlings lives at the tefle residence and it's a challenge for them.
mke wae anasema kuwa bw. rawlings anaishi kwnye nyumba ya tefle n ani tatizo kwao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i think there is a challenge right now of galvanizing the people to reflect on the past fifty years.
ninadhani kuna changamoto hivi sasa ya kuwalazimisha watu watafakari yaliyofanyika kwa miaka 50.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i would therefore wish to challenge hon. chipimo to champion the cause of a free zambia from lusaka control.
ningependa kwa hiyo kumpa changamoto mhe chipimo kuongoza madai ya kuikomboa zambia kutoka katika udhibiti wa lusaka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jackelyn seitcher speaking in the nuu-chah-nulth language shares words after accepting the challenge.
jackelyn seitcher akizungumza kwa lugha ya nuu-chah-nulth anasema maneno ya kukubali kuingia kwenye shindano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
global voices japan asked him about the challenge of minna no honyaku , the difficulties and the new frontiers of volunteer translation.
global voices japan ilimuuliza kuhusu changamoto za minna no honyaku , matatizo na nyanja mpya ya kutafsiri kwa kujitolea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the indigenous language challenge, the one who accepts the challenge must record a video speaking an indigenous language and tap someone else to do the same.
katika zoezi la lugha ya asili, yeyote anayekubali zoezi hilo lazima arekodi video akiongea lugha yake ya asili na kumtaka mtu mwingine aongee vile alivyoongea yeye.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a facebook group was created to collect links to the videos, where people could share their motivations and connect with others taking part in the challenge.
kundi la mtandao wa facebook lilianzishwa kukusanya viungo vya video hizo zinazoingizwa, na kwenye ukurasa huo washiriki wanaweza kutuma kazi zao na kuungana na wengine wanaoshiriki zoezi hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"it was a big challenge when i first started doing this play to get the muslim american community to support it," she says.
"ilikuwa ni changamoto kubwa nilipoanza kuigiza onesho hili kupata ushirikiano wa jamii ya waislamu wa kimarekani," anasema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting