Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
bitter cola
kola chungu
Last Update: 2023-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
local organizations are encouraging employees of coca-cola, as well as starbucks and other companies, to quit their jobs.
mashirika ya kizawa yanawashawishi wafanyakazi wa coca-cola, kadhalika na wale wa starbucks na makampuni mengine, waziachee ajira zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
over 2,000 muslim-owned restaurants in malaysia have taken coca-cola off the menu in an effort to support global boycotts against israel.
zaidi ya migahawa 2,000 inayomilikiwa na waislamu nchini malaysia imeondoa coca-cola kwenye orodha za vyakula katika jitihada za kuunga mkono migomo dhidi ya israeli.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
across five arab states a new and closely co-ordinated campaign to boycott american goods is being launched, with starbucks coffee shops their primary target, but with nestlé, coca-cola, johnson & johnson and burger king outlets also on the list.
katika nchi tano za kiarabu kampeni mpya na nyeti iliyoratibiwa ili kususia bidhaa za kimarekani imezinduliwa, na migahawa ya kahawa ya starbucks ndio shabaha yake ya kwanza, ikifuatiwa kwenye orodha hiyo na maduka ya nestlè, coca-cola, johnson & johnson pamoja na burger king.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting