From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we gave the book to the israelites, the commandments, and prophethood, granted them pure sustenance, and gave them preference above all people.
na hakika tuliwapa wana wa israili kitabu na hukumu na unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
thou knowest the commandments, do not commit adultery, do not kill, do not steal, do not bear false witness, honour thy father and thy mother.
unazijua amri: usizini; usiue; usiibe; usitoe ushahidi wa uongo; waheshimu baba yako na mama yako."