Results for comparing translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

there is some symmetry in comparing the authoritarian putin to the pope.

Swahili

kuna ufanano wa moja kwa moja kwa ubabe na uongozi wa kibavu wa putin na papa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

registan.net, comparing the events with andijan massacre, wrote:

Swahili

registan.net ikilinganisha matukio ya mauaji ya andijani, aliandika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the argument the blogger is making about comparing liverpool songs and brazil's samba atmosphere borders on retarded.

Swahili

mtazamo anaotoa mwanablogu wa kufananisha nyimbo za liverpool na mandhari ya samba huko brazil uko karibu na utaahira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

comparing and contrasting sars-cov-2 with the other six hcovs reveal similarities and differences of great interest.

Swahili

kulinganisha na kutofautisha sars-cov-2 na aina nyingine sita za hcov kumeibua mfanano na tofauti zinazovutia sana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in a third post, he details calls with several family members across gaza, comparing the situation on the ground from gaza city to khan younis.

Swahili

katika ujumbe wake wa tatu, anasimulia kwa undani mazungumzo ya simu na wanafamlia wake walioko gaza, akilinganisha hali ilivyo kutokea jijini gaza mpaka khan younis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these data were used for assessing the trends of covid-19 in eu/eea and the uk, and comparing them to that in italy.

Swahili

data hizi zilitumika kwa kutathmini masuala ya sasa ya covid-19 katika eu/eea na uk, kwa kuzilinganisha na za italia.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a study comparing pcr to ct in wuhan has suggested that ct is significantly more sensitive than pcr, though less specific, with many of its imaging features overlapping with other pneumonias and disease processes.

Swahili

uchunguzi unaolinganisha pcr na ct katika wuhan umependekeza kuwa ct kwa kadri kubwa ni bora kuliko pcr, ingawa si mahususi, na vipengele vyake vya picha kuingiliana na mchochota wa pafu mengine na taratibu za ugonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a study comparing pcr to ct in wuhan at the point of origin of the current pandemic has suggested that ct is significantly more sensitive than pcr, though less specific, with many of its imaging features overlapping with other pneumonias and disease processes.

Swahili

uchunguzi unaolinganisha pcr na ct kule wuhan wakati wa kuibuka kwa janga kubwa la sasa umependekeza kuwa ct ni bora kwa kiasi kikubwa kuliko pcr, ingawa si mahususi na vipengele vyake vingi vya picha kuingiliana na mchochota wa pafu mengine na taratibu za ugonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

looking at obama's overall contribution to africa's development, tolu considered obama "positively neglectful" when comparing him to the bush administration.

Swahili

akichambua mchango wa jumla wa obama katika maendeleo ya afrika, tolu alimwona obama kama mtu "apuuziaye mambo kwa namna chanya" anapomfananisha na mtangulizi wake bush.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

he also suggested that young children are frightened by encounters with women wearing the “full-on burqa”, comparing it to “kids crying, getting the fright of their lives when seeing santa claus”.

Swahili

pia alisema kuwa watoto wadogo huogopa wanapokuna na wanawake waliovaa “vazi zima la burqa”, alilinganisha kuogopa huko na “watoto wanapolia, wanapoogopa sana wanapomuona santa claus”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,244,332,758 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK