From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
“and you will not be compensated except for your deeds.”
wala hamlipwi ila hayo mliyo kuwa mkiyafanya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and no one has done a favour to him, for which he should be compensated.
na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and every soul will be fully compensated for what it had done. he is well aware of what they do.
na kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na yeye anayajua sana wanayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and each soul will be compensated [in full for] what it earned, and they will not be wronged.
na kila nafsi italipwa kama ilivyo chuma, bila ya kudhulumiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and every soul will be fully compensated [for] what it did; and he is most knowing of what they do.
na kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na yeye anayajua sana wanayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whoever betrays, [taking unlawfully], will come with what he took on the day of resurrection. then will every soul be [fully] compensated for what it earned, and they will not be wronged.
na atakaye fanya khiyana, atayaleta siku ya kiyama aliyo yafanyia khiyana, kisha kila mtu atalipwa kwa aliyo yachuma, kwa ukamilifu; wala hawatadhulumiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: