Results for complaint translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the ground (of complaint) is against such as claim exemption while they are rich.

Swahili

ipo njia ya kuwalaumu wale wanao kuomba ruhusa wasende vitani na hali wao ni matajiri. wameridhia kuwa pamoja na wanao bakia nyuma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god has heard the words of her that disputes with thee concerning her husband, and makes complaint unto god.

Swahili

mwenyezi mungu amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he said, 'i make complaint of my anguish and my sorrow unto god; i know from god that you know not.

Swahili

akasema: hakika mimi namshitakia mwenyezi mungu sikitiko langu na huzuni yangu. na ninajua kwa mwenyezi mungu msiyo yajua nyinyi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a local police station filed a first information report (fir) after a neighbor made a formal complaint against her.

Swahili

kituo cha polisi cha mtaa huu kilikusanya taarifa za awali (fir) mara baada ya mkazi jirani kumfungulia mashitaka msichana huyu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god has indeed heard the words of the woman who pleads with you about her husband and lays her complaint before god: god hears what the two of you have to say.

Swahili

mwenyezi mungu amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu anayasikia majibizano yenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

certainly has allah heard the speech of the one who argues with you, [o muhammad], concerning her husband and directs her complaint to allah.

Swahili

mwenyezi mungu amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu anayasikia majibizano yenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the director of the macedonian helsinki committee, a human rights organization, uranija pirovska stated that she intended to file a complaint with the ministry of interior based on a video clip that documented the event, along with eyewitness testimonies.

Swahili

mkurugenzi wa kamati ya helsinki nchini macedonia , shirika la haki za binadamu, uranija pirovska alisema kwamba alikusudia kufungua malalamiko dhidi ya wizara ya mambo ya ndani kwa kutumia kipande cha video kilichochukuliwa kwenye tukio hilo, na kwa kutumia ushahidi wa watu waliokuwepo eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i have written this letter to you asking you to send us payment documents in advance so that we can review the salary complaints on time and submit them to the relevant section for implementation.

Swahili

nimekuandikia waraka huu kukuomba kwamba uwe unatutmia nyaraka za malipo mapema ili tuwe tunapitia malalamiko ya mishahara kwa wakati na kuyawasilisha sehemu husika kwa ajiri ya utekelezeji

Last Update: 2021-10-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,891,985,547 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK